Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
![]()
![]()
![]()
![]()
Tatizo unaleta utani uliopitiliza
Binafsi sipendi kujibujibu watu hata nitukanwe but leo magumashi ni mengi hivyo nikaamua kumjibu mtu kulingana na post zake
Watu wanazungua
................................
Mkuu haya ni majukwaa tu, unatakiwa kama ulilalamika juu ya wakongwe kuwamistreat wageni na kuanzisha movement ya aina hii na ikafanikiwa usilewe sifa na kuanza wewe kuwa na zile zile tabia za wale waliosababisha wewe kuanzisha movement hii.
Observe hii kitu, mimi siyo Kapuku wala mkongwe, kote nahusika vizuri tu ndo maana huku utaniona na kule utaniona.
Toka JF ianze sijawahi kumdharau mtu, kumtukana mtu wala kugombana na mtu, na hakuna hata mmoja anayeweza kushuhudia juu ya hili, ni kwa sababu naichukulia JF yote na members kama familia bila kujali wewe ni mgeni wala mwenyeji.