Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Jaribu kuupdateFuatana nami nikielezea kwa nadharia
mie natumia compyuta mara nyingi
nikifika pale kwenye menu ya create thread , napata mtirirko wa general forums tu na forum ya mwisho inayoonekana kwangu ni Politics
Nimeomba maelezo mara kadhaa kutoka kwa wahusika ikiwa ninakosea namna ya kufika lakini sijawahi pata msaada wowote. kwenye forums nyingine mfano majukwaa yangu pendwa ni ya ujasiriamali, mmu na la kikubwa siyaoni na sijui nafikaje huko
mbaya zaidi siku moja nilikuwa nahitaji ushauri wa kitabibu na nilikuwa porini JF amabyo siku zote niliitegemea sana upande huo ikanilet down kwa kuwa nilishindwa kupost thread kwenye jukwaa hilo
Nimekuwa najiuliza kama nimepigwa ban au ni kitu kingine as wakuu mods ahakauna hata moja mpak leo hii mkuu Youngblood una respond wewe ndio mtu pekee walau umeonyesha hata kutakakujua nini kinanisibu
Naanza kufikiria kulipia kuwa Premium member labda huko nafuuu
au nilipigwa BAN sijajua?
Km umekula ban unakuwa GUEST tu huwezi hata kureply
......................