eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Nataka nione hiyo mahakama itakavyofanya kazi kama kutakua na utofauti na hizi mahakama zingine
thenki yuHepi besidei
Felllaaaaaiiiiiin
Asante...june sio mbali sana.Hongera sana mkuu,
Mi mpaka june
Asante sana chief.Hongera sana Mkuu.
le mdogoz
Mkubwa fellaFelllaaaaaiiiiiin
mkubwa Fella anatupa burudani.Mkubwa fella
Mkubwa fella
Felllaaaaaiiiiiin
Hasa kama leo anapoifunga timu yake ya zamanimkubwa Fella anatupa burudani.
nilijua ataipa heshima kwa kutoshangilia.Hasa kama leo anapoifunga timu yake ya zamani
Hiyo ni special court ni tofauti na mahakama zingine kwenye mamlaka/jurisdiction ni km ICC kwa mfano hii ni maalumu kwa makosa ya uhalifu wa kivitaNataka nione hiyo mahakama itakavyofanya kazi kama kutakua na utofauti na hizi mahakama zingine
Mkuu, mbona mapema hivyo?Throughout life people will make you mad, disrespect you and treat you bad. Let God deal with the things they do, cause hate in your heart will consume you too.-Will Smith. 'Good Night'
Hamna brother.Mkuu, mbona mapema hivyo?
Au ndo mambo ya 'out' yameanza?
Tuambizane braza.
le mdogoz
Sawa kaka, usiku mwema na ulale salama. Usisahau kuomba na kushukuru.Hamna brother.
Leo nimechoka sana,mishemishe za mchana zilikuwa nyingi.