Makapuku Forum

khaaaa ame-take risky gani hapo mimi ndo nimeamua kwa akili zangu pasi na shuruti wala mtutu
 
tunakupenda pia nenda kajenge taifa
 
Aaaa wapi? Mlinzi mwenyewe alikuwa anapotea mpaka hata wiki haonekani lindoni. Sema tu nilihamishia "mashambulizi" Kigali na Uhabeshi. Hata sasa niko safarini kuelekea huko KIKAZI.


kwaiyo ndo nime-take risky kuacha kazi sio
wewe ndo ulikuwa mstari wa mbele kunuchongea ati niachishwe kazi sasa nimeacha bado unang'aka ...
 
hahahaha...ha nazani saivi atakuwa huru sana msukuma make nilimbana mpaka salamu hadi awasiliane na mimi kwanza ...
Shunie ni mwanamke huru kifikra na kimtazamo. Heshima kwa mumewe haimzuii kusalimiana na kaka zake kisa eti kaogopa sime na marungu ya mlinzi - mlinzi mwenyewe mtoro. Come on man!
 


kwaiyo ndo nime-take risky kuacha kazi sio
wewe ndo ulikuwa mstari wa mbele kunuchongea ati niachishwe kazi sasa nimeacha bado unang'aka ...
Karibu Addis Ababa ujionee Wahabesh. Tena hapa ofisi za AU wanatafuta walinzi. Shida ni lazima wawe ex military au police. Sasa wewe na hizo sime na marungu sijui kama uta-qualify. Kama unataka kujaribu sema nikupe link ya application ujaribu. You never know. Nitakupa review nzuri wakitaka reference.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…