Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wametumwa sio bureMbona hawa watu wanatuandama sana.???
Leo siku mbaya
Lkn tutasonga mbele tu
................
Wametumwa sio bureMbona hawa watu wanatuandama sana.???
mbona waguna mkuupoa ila hiyo sabato duuuh
asante chiefSalama mkuu,sabato njema.
karibu bibieHaya sasa zamu yangu mjengoni
Haikuhusu
Usitupangie cha kuchat
Kila kitu ni FREE
..........................
Mkuu sisi tumeamua kuchanganya wewenyewe na wala hatuoni tabu.
Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?
mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..
Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.
tubadilike
Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?
Mkuu tumeshaelewana wenyewe.Ha wanaolalamika ndo nawashauri, mambo ya serious kwenye jukwaa la mammbo ya kijinga wapi na wapi?
Mashamba yanapatikana njombe vijijini, kilolo Iringa, mufindi Iringa.. KaribuWapi mkuu.
haya karibuHaya sasa zamu yangu mjengoni
Wajinga wakifunguka na kuungana huuwaibisha werevuKwani sisi kuwa serious kwenye jukwaa la wajinga kuna shida gani.?
Usitafute sifaHa wanaolalamika ndo nawashauri, mambo ya serious kwenye jukwaa la mammbo ya kijinga wapi na wapi?
amna boss nimeshangaa ulichoandikambona waguna mkuu
Fursa nzuri..asante kushare nasiMashamba yanapatikana njombe vijijini, kilolo Iringa, mufindi Iringa.. Karibu
Haina haja mwache humu atakufa kifo cha kawaida yaani ataondoka mwenyeweOya usilete kwere hapa
Kasome post # 3
Km vipi sepa
.......................
hakiendani nami?amna boss nimeshangaa ulichoandika
Usiumie hakikuelewa tuHivi kuna mahali nimeandika inaniuma?
Nimezungumzia habari ya kutochanganya majukwaa, mambo ya elimu yana jukwaa lake, biashara na uchumi hivyo hivyo, ujasiriamali pia na kadhalika.
Sasa nilikuwa nimemquote jamaa baada ya kulalamika kwamba watu hawachangii kwenye issues za namna kama aliyoleta kwa kumweleza kwamba hili siyo jukwaa husika kwa alichokileta.
Pamoja mkuuFursa nzuri..asante kushare nasi
Ngoja tutafute nguvu kidogo tuje kupambana hukoPamoja mkuu
Usiumie hakukuelewa tuHivi kuna mahali nimeandika inaniuma?
Nimezungumzia habari ya kutochanganya majukwaa, mambo ya elimu yana jukwaa lake, biashara na uchumi hivyo hivyo, ujasiriamali pia na kadhalika.
Sasa nilikuwa nimemquote jamaa baada ya kulalamika kwamba watu hawachangii kwenye issues za namna kama aliyoleta kwa kumweleza kwamba hili siyo jukwaa husika kwa alichokileta.
Usiumie hakikuelewa tu