Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu mimi naona haya malumbano uyapuuze, hayakufai kabsaa

Mkuu hili jukwaa mlilifungua kwa sababu za ubaguzi mnaoupata kwa kutukanwa na wakongwe, naona sasa ninyi ndo mmekuwa wa ...!

Rais wenu Bitoz naona ndo anaongoza sasa hivi kwa kejeli hata za kukaribia kuwazidi wakongwe.
 
Sawa
Nenda kajisaidie ili uondoe gundu
Tatizo lako ni kiherehere
....................

I am reserving my comment sir, najua nikiandika hutakaa uniquote wala niku-quote.

Ila wewe siyo star kama unavyodhani, nimesema ninaelewa matatizo yako, so najua hata wewe unafanya bila kijijua kwamba unachofanya ndo ulichokuwa unakikataa.
 
Mkuu hili jukwaa mlilifungua kwa sababu za ubaguzi mnaoupata kwa kutukanwa na wakongwe, naona sasa ninyi ndo mmekuwa wa ...!

Rais wenu Bitoz naona ndo anaongoza sasa hivi kwa kejeli hata za kukaribia kuwazidi wakongwe.

Tatizo unaleta utani uliopitiliza
Binafsi sipendi kujibujibu watu hata nitukanwe but leo magumashi ni mengi hivyo nikaamua kumjibu mtu kulingana na post zake
Watu wanazungua
................................
 
I am reserving my comment sir, najua nikiandika hutakaa uniquote wala niku-quote.

Ila wewe siyo star kama unavyodhani, nimesema ninaelewa matatizo yako, so najua hata wewe unafanya bila kijijua kwamba unachofanya ndo ulichokuwa unakikataa.
Mkuu tufanye haya mambo yameisha,tufanye mambo mengine ya maana..
 
I am reserving my comment sir, najua nikiandika hutakaa uniquote wala niku-quote.

Ila wewe siyo star kama unavyodhani, nimesema ninaelewa matatizo yako, so najua hata wewe unafanya bila kijijua kwamba unachofanya ndo ulichokuwa unakikataa.
Yote kheri
Maelezo yapo post # 3
I'm not star
I'm Kapukuz
Ukinichukia sipungukiwi kitu chochote
Kunijibu ni uamuzi wako
Napenda kuwa peace na kila mtu

Lakini samtaimu uvumilivu unanishinda
...................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom