Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
woteeeeeeee tuLeo chagua moja.....mshenga au binamu???
sio wewe hunitakii mema mie unataka niachwe
woteeeeeeee tuLeo chagua moja.....mshenga au binamu???
Pole shemela, Mungu akusimamie kwenye mapito unayopitayaan shemela sipo sawa lkn nikiingia humu sio siri nafarijika sana
Kamua babaa!Zinaenda aisee
Hvi huyu mtu ni ke ama me...Eboooooh
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mambo mdogo wangu jovitha
Kuna wageni huwa wanakuja Kuja huku, lakini leo sijawaonahahahhh wageni gani hao niliowapunguza leo
ameniambia nikusalimie sana ameshakuonaNamsubiri afro-cast wangu sakayo
WerrasooooooooooooòooooooonLeo chagua moja.....mshenga au binamu???
hahahhhhAisee dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama hujawahi kupata 100% ukiwa chekechea,msingi au sekondari
Basi endelea kufirahia kupata 100% wakati simu inajaa chaji au unadownload vitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji120] [emoji120] ameen shemela wangu Mungu atanisaidiaPole shemela, Mungu akusimamie kwenye mapito unayopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona vibongeKamua babaa!
Bila [emoji389][emoji389] dolare huwezi kumiliki vibonge kama shunie..
Kweli kabisa aiseeKamua babaa!
Bila [emoji389][emoji389] dolare huwezi kumiliki vibonge kama shunie..
Achana nayeHvi huyu mtu ni ke ama me...
Yeye muda wotee anavyonza...?
Who the hell are you?
Akili za sakayo sasa hivi....Nimeshamwita naona akili sio zako hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo avatar yangu inamaanisha niniKuna wageni huwa wanakuja Kuja huku, lakini leo sijawaona
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji120] [emoji120] ameen shemela wangu Mungu atanisaidia