Makapuku Forum

Kwani tukichanganya wewe inakuuma nini?

Hivi kuna mahali nimeandika inaniuma?

Nimezungumzia habari ya kutochanganya majukwaa, mambo ya elimu yana jukwaa lake, biashara na uchumi hivyo hivyo, ujasiriamali pia na kadhalika.

Sasa nilikuwa nimemquote jamaa baada ya kulalamika kwamba watu hawachangii kwenye issues za namna kama aliyoleta kwa kumweleza kwamba hili siyo jukwaa husika kwa alichokileta.
 
Mkuu sisi tumeamua kuchanganya wewenyewe na wala hatuoni tabu.
 
Haikuhusu
Usitupangie cha kuchat
Kila kitu ni FREE
..........................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…