Poa mkuu,pamoja sana.Mkuu Niko fresh kabisaa.
Ndiyo mkuu....leo ninaosha....Zamaulid Leo weekend mnatoka na jimena au?
Tafuta mwingine mbona wapo wengi tu au nikupe namba.??Sasa akikuletea huko mimi ataniacha na nani
Unaosha Nini? HahahNdiyo mkuu....leo ninaosha....
Aisee.Ndiyo mkuu....leo ninaosha....
Kuachwa ni shughuli pevuBora tu arudi kwa mumewe maana stress za kuachwa zilikuwa zinampa shida.

Majibu mengine yana utata.Unaosha Nini? Hahah
Kweli mkuu. mtu anawezasema umelogwa kumbe mapenzi tu.Kuachwa ni shughuli pevu![]()
Kabisa, me mwnyewe Shakira aliponiacha akaolewa na Pique iliniuma sana.. ahahah joke!Kweli mkuu. mtu anawezasema umelogwa kumbe mapenzi tu.
Kaka niachie huyu huyo mwingine nipe namba for future useTafuta mwingine mbona wapo wengi tu au nikupe namba.??
Asante Mkuu kwa wazo zuri, naamini si Makapuku wote tunafanya kazi ama tumejiajili. Kuna wengine hawana kazi, tukianzisha huu mpango wa kuelimishana na kupeana maujuzi mbalimbali naamini tutadhihirisha ukapuku wetu na heshima tutazidi kuikuza zaidi.Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?
mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..
Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.
tubadilike
Nahisi wezi watakua ni samaki tu
Kweli mkuu.Asante Mkuu kwa wazo zuri, naamini si Makapuku wote tunafanya kazi ama tumejiajili. Kuna wengine hawana kazi, tukianzisha huu mpango wa kuelimishana na kupeana maujuzi mbalimbali naamini tutadhihirisha ukapuku wetu na heshima tutazidi kuikuza zaidi.
Ni Mtazamo tu.