Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Karibuni tutumbue hela ya urithiMakapuku katika ubora
Karibuni tutumbue hela ya urithiMakapuku katika ubora
Karibu sana ila sasa kufika ndo labda mpaka Mshana aimarishe benchi la ufundiAisee hii sasa ni balaa.
Tunaweka heshima....Aisee hii sasa ni balaa.
Mkuu wapi kwenye mambo ya kijinga?????Unaleta mambo ya maana kwenye jukwaa la mambo ya kijinga?
Halafu mtalala wapi?Tunaweka heshima....
Thubutuu! Hujui ukila unatakiwa ujiandae kuliwa!!Karibuni tutumbue hela ya urithi
Mkuu mbona mnanitishia namna hiyo....Tego la usinga huteguliwa tu pale mtu anapokuwa amekufa tayari.![]()
![]()
![]()
Nakupa tahadhali kabla ya hatari.Mkuu mbona mnanitishia namna hiyo....
Thomaas..!Kwani kuna mtu kaibiwa?
Naona jamaa kichwa kinapata moto.Mkuu wapi kwenye mambo ya kijinga?????
Mmmmh swali gani tena hili youngbloodHalafu mtalala wapi?
Sasa unaanzaje kuuza nyumba ya urithi halafu ukaweke heshima bar.Mmmmh swali gani tena hili youngblood
Ngoja niangaze.Hahaha.rudi nyuma utamuona mkuu.
Buheri wa afya mkuu
Thubutu kukutwa na Lara1 ukimshadadia Mondi!!
