Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Mwache mwenzako alete mautundu mkuu tuchukue maujuzi.Mkuu taratibu na usijechafua hiyo fani sitakuelewa..nafrahi kusikia hivyo


Mwache mwenzako alete mautundu mkuu tuchukue maujuzi.Mkuu taratibu na usijechafua hiyo fani sitakuelewa..nafrahi kusikia hivyo


Kweli kabisa.![]()
![]()
![]()
La msingi tuungane badala ya kuanza kutengana
.............
Leo kuna bundi kaingia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Yani mpaka nilianza kuogopa.Mkuu taratibu na usijechafua hiyo fani sitakuelewa..nafrahi kusikia hivyo
Ni kweli kabisa mkuu bitozLove lead the world
Humu watu tunajitambua kwahiyo km una ISSUE MUHIMU unasema but halazimishwi mtu kujadili kitu Fulani
Vilevile wasomi tupo wengi tu na tuna ishu zetu za kutuingizia JERO JERO
..................
Asante mkuu na kwako piaJF bila makapuku haiwezekani.Gud day to all makapukuz
pamoja mkuuAsante mkuu na kwako pia
Siku hazifanani![]()
![]()
Yani mpaka nilianza kuogopa.
Inabidi tumtoe mapema kabla hajafanya makubwa.
Humu tuna watu wa kada mbali mbali na wenye taaluma na maarifa mali mbali, kuna watu wana ujuzi na vipawa tofauti tofauti,nachelea kudhani kwamba sehemu Fulani kakaa kapuku mmoja akisoma na kuleta masihara mengi kuchangamsha kijiwe ilihali hajui kesho yake inaendaje wakati huo huo kapuku mwenzetu huyu unakuta ni fundi mwashi mzuri tu, kumbe ange declare mapema kwamba ana ujuzi huo angepata kapuku mwingine anayetaka kujengewa nyumba yake akapewa mchongo.
Kadhalika kuna watu wengi sana wanafanya kilimo kwa mazoea na mwisho wa siku wanajikuta wametumia muda na rasilimali nyingi sana kuzalisha kiasi kidogo,ila wangeweka wazi hapa ni lazima yupo kapuku sehemu anaushauru mtamu tu kuhusu namna bora ya kilimo!
Mimi mchango wangu hapa ni kwamba kwa kapuku yeyote anayetaka kujenga najitolea kumsaidia ushauri na kumpa ramani,najua kwa kufanya hivi siku moja nitakuwa nimetengeneza duara kubwa sana kwa minajili ya kusaidiana baadaye kwenye mambo mengine.
Pia kwa kapuku yeyote ambaye ni mdau wa sekta ya ujenzi kwa maana ya electrician ,fundi mwashi, fundi wa carpentry, welding, bomba na wa finishing tutambuane humu tupeane support ikitokea! Wasalaam
Hakuna limit.....ingia tu ila kasome post # 3Nimeipenda naombeni kujiunga na ukapuku wenye nguvu
Asante,jaribu sana mkuu.Nimeipenda naombeni kujiunga na ukapuku wenye nguvu
Wewe mjuaji kwenye mambo ya kijinga umefuata nini.Unaleta mambo ya maana kwenye jukwaa la mambo ya kijinga?
Leo kuna bundi kaingia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Naona mshana jr kibarua kinaelekea kuota nyasi.Bundi tena!
mshana Jr ameacha kutoa ulinzi?
Mzee wa ulozi yupo safarini South Sudan........leo sio bure full vurugu halafu kuna thread ya kibwege imeanzishwa Chit chat inatuongelea sisiBundi tena!
mshana Jr ameacha kutoa ulinzi?
Leo kuna bundi kaingia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Bundi gani tena huyo?![]()
![]()
Yani mpaka nilianza kuogopa.
Inabidi tumtoe mapema kabla hajafanya makubwa.