Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
mmhacha tu shedede ni mambo mambo tu
mmhacha tu shedede ni mambo mambo tu
kuwa na Amani yataisha tu
huna kazi yakufanya????Mnasemaje nawauliza ?
[emoji8][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] nichumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]chekaga tu mpenzi[emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hivi we baba mzima kweli humu kuna mtu huwa anakuita mxxxiuuuee
[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] feel good dear[emoji8]
anakera sana ujue[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Heshima huwa haiombwi. It is earned! Treat her well na utaona. No big hits kama Chris Brown please...mi nikaogopa nikadhani labda unanizibia ridhiki yangu aisee ........ kumbe poa saiv husna ndo my wify so naomba heshima ipande kidogo......[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kazi ya ulinzi anafukuzwa au bado anaendelea nayo? Na bado anaruhusiwa kuhamishia sime, rungu na mapanga yake nyumba kuu kama Lee hayupo?me nawatakia kila la kheri mama ako nimeshawapa baraka zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chris kavuta bangi ganiHeshima huwa haiombwi. It is earned! Treat her well na utaona. No big hits kama Chris Brown...![]()
![]()
naona unafanya kila mpango uvuruge aiseeeKazi ya ulinzi anafukuzwa au bado anaendelea nayo? Na bado anaruhusiwa kuhamishia sime, rungu na mapanga yake nyumba kuu kama Lee hayupo?
Mkuu, huwa sivamii wake za watu mimi. Hasa hasa PM nitakwenda kuomba dawa ya jino tu basi. Hata nikimkuta kakaa vibaya nitatembea kinyume nyume huku nimeziba macho...mke mtiifu sana wewe nakuomba na pm yako ifunge na huyo shimba akija huko pm ukiona anaelekea kutaka kuku-aproach screen shot kabisa ......
oky my boss tank yuh for your giftkuwa na Amani yataisha tu
Sijui ni MTU wawapi huyoanakera sana ujue
majibu yote akirudi boss wake wataongeaKazi ya ulinzi anafukuzwa au bado anaendelea nayo? Na bado anaruhusiwa kuhamishia sime, rungu na mapanga yake nyumba kuu kama Lee hayupo?
hahahahah.....itabid mi ndo nikupe ruksa kwanza na sijui kama nitakupa heheheheheheMkuu, huwa sivamii wake za watu mimi. Hasa hasa PM nitakwenda kuomba dawa ya jino tu basi. Hata nikimkuta kakaa vibaya nitatembea kinyume nyume huku nimeziba macho...
anytime shededeoky my boss tank yuh for your gift