Makapuku Forum

Mkuu huwa navunja mifupa km mbwa huwa sijielewi sababu ya kufanya hivyo
Nafikiri uko ulipo napata huduma nzuri tu na utapona
.......
 
Aisee, ni kweli usemacho
 
yeeeeeee daa
 
huko kuvunja mifupa vip shimba
 
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,



Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,

refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refaakawaomba wakate kombe nusu kwa nusu

 
urongooo
 
Pole sana msukuma
 
Pole mdau, jino kuuma na tiba zake ni noma. Nami najipanga root canal kasheshe.
Well, tuombe Mungu j3 Stupid Criminals watamalaki hapa
Root canal! Maweeee! Pole mkuu. I hope everything will go well. Hata mimi huyu daktari kanichimba mkwara kama mambo yasipokaa sawa basi ni either root canal au kung'oa. Niko tayari kuling'oa kwa sababu shezy type jino linanimalizia hela balaa hili. Nitaling'oa tu niachane nalo kwa kweli na uzuri ni la huko nyuuuma hata akina Shunie hawatajua kama sina jino
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…