Makapuku Forum

Makapuku Forum

Root canal! Maweeee! Pole mkuu. I hope everything will go well. Hata mimi huyu daktari kanichimba mkwara kama mambo yasipokaa sawa basi ni either root canal au kung'oa. Niko tayari kuling'oa kwa sababu shezy type jino linanimalizia hela balaa hili. Nitaling'oa tu niachane nalo kwa kweli na uzuri ni la huko nyuuuma hata akina Shunie hawatajua kama sina jino[emoji23][emoji23][emoji23]
mambo ya jinohayo nililiwa mm usiku wa manane na kaka angu asee ikabidi tulalingoe ukiona mwanaume analia jua yamemfika
 
Back
Top Bottom