Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mkuu huwa navunja mifupa km mbwa huwa sijielewi sababu ya kufanya hivyoUnapenda kuvunja mifupa sana eeh. Niko somewhere nje ya Bongo. Nina dentist rafiki yangu wa siku nyingi nikiwa na ishu za meno huwa naenda kwake. Ana facility nzuri na vifaa vya kisasa kabisa. Ndiyo maana tukaambiwa kuwa operesheni yo yote ni risky. Kioperesheni kidooogo complications zinatokea mtu unakwenda. Joan Rivers yule mama wa show ya Fashion Police alikwenda kutoa tonsils- kioperesheni kidogo cha dakika tano lakini akaishia kufariki.
Tupunguze kuvunja mifupa madenge!![]()
Nafikiri uko ulipo napata huduma nzuri tu na utapona
.......

*
mnachati balaa 1054 post!
urongooo