Makapuku Forum

Amen
Ubarikiwe Mama mchuchu
 
Katika maisha omba uzaliwe na bahati.

Kuna wachezaji mafundi haswa na hata wengine waliobarikiwa vipaji maridhawa lakini walikuwa katika vikosi vibaya hivyo wakashindwa kutwaa taji lolote.

Mfano Hart kwa Uingereza, Giggs kwa Wales, Luis Figo.

Halafu kuna wachezaji wabovu ila wamezaliwa katika vikosi vya dhahabu na kwa msaada wa wenzao wakashinda mataji ya kutosha.

Mfano Christoph Kramer wa Ujerumani. Nae ameshinda World cup, wachezaji wengi wa Ureno iliyochukua Euro 2016, Jesus Navas, Victor Valdes kwa Spain nk

Halafu kuna kikosi kama Uholanzi ambacho kina mafundi wa kutosha tena vipaji vya hali ya juu ila hawana bahati.

Naungana na wewe kwamba muda mwingine dunia haiko sawa.
 
Haaaaahaaaa, Robinson alifungwa gori moja la kizembe sana kuwahi kutokea kwenye mpira
Alirudishiwa mpira na Gary Neville katika mechi ya kufuzu Euro 2008.

Halafu ilikuwa ni mechi muhimu sana, wakafungwa na kufanya washindwe kufuzu Euro 2008 na kusababisha Steve Mc Claren kibarua kiote nyasi.
 
Safi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…