BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
NGUVU YA MSAMAHA1981 - Mehmet Ali Agca anajaribu kumuua Papa John Paul II kwa kumpiga na risasi katika eneo la St Peter Square huko Jijini Rome.
Ali raia wa Uturuki alihukumiwa kifungo cha maisha jela, lakini mara baada ya kutumikia miaka 19 jela nchini Italy alisamehewa lakini akahamishiwa nchini kwake ambapo alitumikia miaka 10 mingine na kuachiwa huru mwaka 2010.
Papa John Paul II alimtembelea Ali jela kumjulia hali nankumuambia amemsamehe.
Hii ilimfanya Ali alipotoka jela mwaka 2010 kwenda kuzuru kaburi la Papa na alilia sana.
Happy Birthday Stevie Wonder.1950 - Stevie Wonder anazaliwa.
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye ana ulemavu wa macho.
AIBU KUBWAHii serikali ni katili haina huruma
Nasikia na rambirambi za Arusha imefanya tena ujinga.
.
.
Ahsante kwa magazeti
.....
HBD Denis Rodman1961- Denis Rodman anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa zamani, mcheza movie na mwanamieleka.
Aliekti movie na Van Damme ijulukanayo kama Double Team.
1993 - Romelu Lukaku anazaliwa.
Mshambuliaji wa Everton na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Aliwahi pia kupitia Chelsea akauzwa na kocha wa kipindi hiko Jose Mourinho.
Anatajwa kama Drogba wa zama hizi. Ndie anayeongoza kwa ufungaji EPL.
Akiwa West Brom kwa mkopo akaweka rekodi ya mchezaji wa kwanza kutokea Benchi na kwenda kufunga Hat trick dhidi ya Man Utd katika EPL ambapo mechi hiyo iliishia 5-5 nayo ikiwa ni rekodi ya pekee kwani hamna mechi iliyowahi kuisha 5-5.
Ilikuwa ni mechi ya mwisho kwa Ferguson kabla ya kustaafu Ukocha.
Hata mimi ningekimbia
Wanawake kwa uwoga
Angekuwa Mfalme angekomaa hadi dk ya Mwisho
.....
HBD Yaya Toure1983 - Yaya Toure anazaliwa.
Kiungo wa Man City na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Aliwahi pia kuchezea Barcelona.
Moja ya viungo bora kuwahi kutokea katika bara la Africa. Anasifika kwa kumudu kucheza katika jukumubla Box-to-Box midfielder ambapo anauwezo wa kukaba na hapohapo uwezo wa kushambulia.
Ametwaa kila taji kwa ngazi ya klabu.
HBD Romelu Lukaku1993 - Romelu Lukaku anazaliwa.
Mshambuliaji wa Everton na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Aliwahi pia kupitia Chelsea akauzwa na kocha wa kipindi hiko Jose Mourinho.
Anatajwa kama Drogba wa zama hizi. Ndie anayeongoza kwa ufungaji EPL.
Akiwa West Brom kwa mkopo akaweka rekodi ya mchezaji wa kwanza kutokea Benchi na kwenda kufunga Hat trick dhidi ya Man Utd katika EPL ambapo mechi hiyo iliishia 5-5 nayo ikiwa ni rekodi ya pekee kwani hamna mechi iliyowahi kuisha 5-5.
Ilikuwa ni mechi ya mwisho kwa Ferguson kabla ya kustaafu Ukocha.
Aksante sana1/Tear Bomba
Hili Bomu ni noma ndo baba lao kwa silaha za maangamizi ya halaiki
Lilitengenezwa na Muungano wa Kisoviet ili kupambana na mkakati wa kinyuklia wa Marekani
Linaruka hadi maili 40 angani ambao ni urefu X 7 ya Mlima Everest
Lilishindikana kubebwa kwa ndege sababu ya ukubwa/uzito wake pia likirushwa kwa ndege uwezekano wa marubabi kupona Ni 50%
Hilo ndo bomu hatari zaidi la kinyuklia
Mwisho
......
Ubarikiwe Mussolin5,kazi yako ni njema uwe na siku njemaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Chelsea niwatakie jmosi njema.
SanaAIBU KUBWA
Pamoja sana bitozHii serikali ni katili haina huruma
Nasikia na rambirambi za Arusha imefanya tena ujinga.
.
.
Ahsante kwa magazeti
.....
Samehe saba mara sabini.Waturuki kwa kuua tu hawajambo
Papa John Paul anatufundisha kusamehe, hata kama umetendewa ukubwa gani wa ovu,lazima usamehe
Ubabe wa Amerika kwa nchi nyingi za Amerika ya kusini.Sababu?
.....
Karibu MkubhiAksante sana kwa maombi yenu
Pamoja sana mkuuAsante dikteta kwa leo katika historia
Msanaha wa sina hii inatokea kwa nadra sana
Heshima kwa Papa
........
Timu yao hasa ile ya akina Drogba imeingia katika timu bora ambazo hazikuwahi kutwaa taji kama ilivy0 kwa England ya 2002 mpaka 2010.Kizazi chao cha dhahabu Kodivaa cha akina Gervinho,Kalou n.k kilichemsha tofauti na matarajio ya wengi
Wakaja kubeba AFCON kichovu wakati wameshaanza kusambaratika huku wengine wakiwa wameshabwaga manyanga
.......
Shukrani sana, pamoja.hapa akiwa na mdogo wake
Sikumbuki kilichomlizaNext season nafikiri atasajiliwa na timu kubwa Everton hawana jeuri ya kumbakiza
.
.
.
Shukrani mkuu kwa historia
Nikutakie sabato njema
.........