Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?
Mkuu upo salama?Maanuuuu
mabadiliko ..Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?
Niko hapa najibembeleza shemeji,huku mvua sana asee. Ukimuona mtalaka wangu mpe salamuNiko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Good morning tooGood morning all.......
Goodmorning bbyAsante kapuku karibu tena
Yaan nimesoma Leo coment zote kwanzia mwanzo nyie mmelala tuu
Oiiii .....Oyeeeeeeeeeeeeeee
Niambie kijanaOiiii .....
Mkuuuu nipoNiko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Ha Haaaa Haaaa mtalaka????Niko hapa najibembeleza shemeji,huku mvua sana asee. Ukimuona mtalaka wangu mpe salamu
Fresh niajee.....!Niambie kijana
Mkuu hizo za mtongozano ni jokes tuu.....kuendeleza story.....Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?
mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..
Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.
tubadilike
Mishe fresh tuu.....tunakomaa...town hapaGood morning.
mkuu mishe vipi?
Mkuu MANDELAA KIWELU ni kweli penye wengi kuna mengi sana na maisha hayana budi kuendelea tu...Nadhani yote yanayoendelea hapa ni namna ya kulipa hili jukwaa letu afya tu lisiwe bored sana ila kama una ishu yeyote unayotaka iwe-discussed hapa usisite iweke mezani na itachangiwa kwa kadiri iwezekanavyo..Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?
mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..
Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.
tubadilike