Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?

Mkuu umetumia hukumu ya jumla, 'wakamponda.....mnataka nini...' sina hakika kama una taarifa kwamba binadamu tumeumbwa tofauti tofauti na tumepewa namna tofauti za kufikiri na kutoa maamuzi na maazimio ili tusaidiane! Unapotaka kutoa jambo lenye manufaa kwa jamii usisubiri kuwa acknowledged!
 
Niko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Niko hapa najibembeleza shemeji,huku mvua sana asee. Ukimuona mtalaka wangu mpe salamu
 
Niko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Mkuuuu nipo
Mambo yanasemaje.
Amazing hajambo
 
3a669d7a19f1b03aa285468cd3d0cfba.jpg
 
Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?

mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..

Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.

tubadilike
Mkuu hizo za mtongozano ni jokes tuu.....kuendeleza story.....
 
Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?

mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..

Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.

tubadilike
Mkuu MANDELAA KIWELU ni kweli penye wengi kuna mengi sana na maisha hayana budi kuendelea tu...Nadhani yote yanayoendelea hapa ni namna ya kulipa hili jukwaa letu afya tu lisiwe bored sana ila kama una ishu yeyote unayotaka iwe-discussed hapa usisite iweke mezani na itachangiwa kwa kadiri iwezekanavyo..
 
Humu tuna watu wa kada mbali mbali na wenye taaluma na maarifa mali mbali, kuna watu wana ujuzi na vipawa tofauti tofauti,nachelea kudhani kwamba sehemu Fulani kakaa kapuku mmoja akisoma na kuleta masihara mengi kuchangamsha kijiwe ilihali hajui kesho yake inaendaje wakati huo huo kapuku mwenzetu huyu unakuta ni fundi mwashi mzuri tu, kumbe ange declare mapema kwamba ana ujuzi huo angepata kapuku mwingine anayetaka kujengewa nyumba yake akapewa mchongo.

Kadhalika kuna watu wengi sana wanafanya kilimo kwa mazoea na mwisho wa siku wanajikuta wametumia muda na rasilimali nyingi sana kuzalisha kiasi kidogo,ila wangeweka wazi hapa ni lazima yupo kapuku sehemu anaushauru mtamu tu kuhusu namna bora ya kilimo!

Mimi mchango wangu hapa ni kwamba kwa kapuku yeyote anayetaka kujenga najitolea kumsaidia ushauri na kumpa ramani,najua kwa kufanya hivi siku moja nitakuwa nimetengeneza duara kubwa sana kwa minajili ya kusaidiana baadaye kwenye mambo mengine.

Pia kwa kapuku yeyote ambaye ni mdau wa sekta ya ujenzi kwa maana ya electrician ,fundi mwashi, fundi wa carpentry, welding, bomba na wa finishing tutambuane humu tupeane support ikitokea! Wasalaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom