Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Jumamosi LeoFresh niajee.....!
Jumamosi LeoFresh niajee.....!
Kuna watu badala ya kuanzisha swaga utawasikia "mbona mpo kimya/humu ndani kumepooza sana"Niko fit ile mbaya asee...Wacha nitafute ndugu wengine hapa maana nikuja asubuhi nikakuta hii thread yetu imekuwa namba nne wakati kila siku inakuwaga pale juu kama Mod kai-sticky kumbe ni sababu ya comment za kila dk....Inabidi irudi kilelen tena....Wap jambilo mtumish umekimbia sana kisa ni Patience123 tu, Wap Jimena njoo huku dada angu na uje na sizzya007 basi, Bila shaka youngblood yupo lakin sijui yu wap Nahrene, Wapi Muke ya bouncer mamaa amaizing ukuje na huku mumy...Wap lizziebettie naona anamuacha tu mzee Th Name mwenyewe huku huogopi kuibiwa shemeji yangu..Wap EMMYGUY pembeni akiwa na aggyjay , wap ibra87 anasalimiwa na cute b, Wap sumbai, HOPECOMFORT....
Safi sana mkuu.Humu tuna watu wa kada mbali mbali na wenye taaluma na maarifa mali mbali, kuna watu wana ujuzi na vipawa tofauti tofauti,nachelea kudhani kwamba sehemu Fulani kakaa kapuku mmoja akisoma na kuleta masihara mengi kuchangamsha kijiwe ilihali hajui kesho yake inaendaje wakati huo huo kapuku mwenzetu huyu unakuta ni fundi mwashi mzuri tu, kumbe ange declare mapema kwamba ana ujuzi huo angepata kapuku mwingine anayetaka kujengewa nyumba yake akapewa mchongo.
Kadhalika kuna watu wengi sana wanafanya kilimo kwa mazoea na mwisho wa siku wanajikuta wametumia muda na rasilimali nyingi sana kuzalisha kiasi kidogo,ila wangeweka wazi hapa ni lazima yupo kapuku sehemu anaushauru mtamu tu kuhusu namna bora ya kilimo!
Mimi mchango wangu hapa ni kwamba kwa kapuku yeyote anayetaka kujenga najitolea kumsaidia ushauri na kumpa ramani,najua kwa kufanya hivi siku moja nitakuwa nimetengeneza duara kubwa sana kwa minajili ya kusaidiana baadaye kwenye mambo mengine.
Pia kwa kapuku yeyote ambaye ni mdau wa sekta ya ujenzi kwa maana ya electrician ,fundi mwashi, fundi wa carpentry, welding, bomba na wa finishing tutambuane humu tupeane support ikitokea! Wasalaam
Love lead the worldHumu tuna watu wa kada mbali mbali na wenye taaluma na maarifa mali mbali, kuna watu wana ujuzi na vipawa tofauti tofauti,nachelea kudhani kwamba sehemu Fulani kakaa kapuku mmoja akisoma na kuleta masihara mengi kuchangamsha kijiwe ilihali hajui kesho yake inaendaje wakati huo huo kapuku mwenzetu huyu unakuta ni fundi mwashi mzuri tu, kumbe ange declare mapema kwamba ana ujuzi huo angepata kapuku mwingine anayetaka kujengewa nyumba yake akapewa mchongo.
Kadhalika kuna watu wengi sana wanafanya kilimo kwa mazoea na mwisho wa siku wanajikuta wametumia muda na rasilimali nyingi sana kuzalisha kiasi kidogo,ila wangeweka wazi hapa ni lazima yupo kapuku sehemu anaushauru mtamu tu kuhusu namna bora ya kilimo!
Mimi mchango wangu hapa ni kwamba kwa kapuku yeyote anayetaka kujenga najitolea kumsaidia ushauri na kumpa ramani,najua kwa kufanya hivi siku moja nitakuwa nimetengeneza duara kubwa sana kwa minajili ya kusaidiana baadaye kwenye mambo mengine.
Pia kwa kapuku yeyote ambaye ni mdau wa sekta ya ujenzi kwa maana ya electrician ,fundi mwashi, fundi wa carpentry, welding, bomba na wa finishing tutambuane humu tupeane support ikitokea! Wasalaam
Safi sana mkuu.
Ni kweli humu ndani kuna watu wana ujuzi tofauti tofauti kama kuna mtu atakuwa na shida asisite kuuliza hapa,unaweza kusaidiwa kuliko ulivyotarajia.
Yapi?mabadiliko ..
Mimi ni LAWYER .....Kuna watu wanaonewa tu mitaani kwa kuwa hawana ujuzi wa sheria na hawana uwezo wa kuchangia consultation lakini kupitia hapa mtu unaweza toa ya moyoni ukapata ushauri ukafarijika sana....
kile ulichokuwa unakipinga kwa wakongwe ndicho hicho hicho unachokifanya hapa, ...Kuna wazembe badala ya kuanzisha swaga utawasikia "mbona mpo kimya/humu ndani kumepooza sana"
Meseji km hii si bora ungeleta swaga tu
Inaboa
............
Kweli.kile ulichokuwa unakipinga kwa wakongwe ndicho hicho hicho unachokifanya hapa, ...
Sasa unatafsiri vinginekile ulichokuwa unakipinga kwa wakongwe ndicho hicho hicho unachokifanya hapa, ...
Kudos mkuu,sasa niko huru kuanzisha uchokozi popote na muda wowote,tena na mtu yeyote kwa kua najua nina mtetezi tayari...Mimi ni Architect!Mimi ni LAWYER .....
................
Tatizo watu wanapenda kulalamika......ukichunguza unakuta wenyewe hawaanzishi mjadala wowote ila kulalamikaMkuu mandela umeongea points sana.
Mimi pia nilikuwa nashauri kama kuna mtu ana wazo ama jambo loloto linamsumbua na anaona anashindwa kuanzisha thread alete hapa sisi kama members tuweze kulichangia kwa ufasaha.
Amejisahau eeekile ulichokuwa unakipinga kwa wakongwe ndicho hicho hicho unachokifanya hapa, ...
Sawa mkuu Bitoz naamini watu tumeelewana kabisa.Tatizo watu wanapebda kulalamika......ukichunguza unakuta wenyewe hawaanzishi mjadala wowote ila kulalamika
Post # 3 imesema thread ni kwa mambo yote ya laifu
Mfano mimi naleta habari hapa..je wengine wanaleta nini?
Tuache ulalanishi...tulete mabadiliko kwanza wenyewe
...............
Umefanya vyema kuomba msamaha, uliniboa sanaSasa unatafsiri vingine
Namaainisha mtu ni bora kuleta swaga kuliko hiyo misemo coz ndo inazidi kupoozesha jukwaa
Sorry km nimemkwaza MTU
.................
Mkuu taratibu na usijechafua hiyo fani sitakuelewa..nafrahi kusikia hivyoKudos mkuu,sasa niko huru kuanzisha uchokozi popote na muda wowote,tena na mtu yeyote kwa kua najua nina mtetezi tayari...Mimi ni Architect!
Umefanya vyema kuomba msamaha, uliniboa sana
Good!!Umefanya vyema kuomba msamaha, uliniboa sana