Makapuku Forum

1/Noni Zondi

Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sana'a ikiwepo muziki
.
.
.
Shukrani kwa mliofuatilia mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
Ubarikiwe sana jamani Mungu aliumba na bado anaumba tumshukuru sana sana kwa uumbaji wake ...watu ni wazuri..wanavipaji..wasomi..hakika tumshukuru Mungu

Asante mkuu Bitoz kwa makala hii kazi yako ni njema .

Shunie ukishona ule mshono ukitoka vzr niambie nami nijaribu,ila fundi mwambie kabisa yangu iwe ndefu.
 
mm sio bonge shemela wangu kiflatscreen flan amaizing chura ananitosha mwenyewe
Hilo shape ndio huwa linanitoa udenda yaani "Motorola bapa lakini chaji inakaa"[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mama mchuchu nimeusave kabisa
 
Kwani wasio na misambwanda huwa hawaporomoki? Father time spares no one, isn't it? Akifikia hatua ya kuporomoka na mimi nitakuwa nimeporomoka kwa hivyo tunakwenda kwenye hayo maporomoko pamoja na miporomoko yetu HAPPILY. Kwema mtumishi?
Nimefurahi unaelewa hiyo kanuni mtumishi

Wako watu mke akianza kunyonyesha,anamchukia kabisa,akianza kuporomoka anahama nyumbani,ninachofahamu mtu anavyokua mtu mzima ndio anazidi kuwa mzuri na kuvutia ,maporomoko yako pande zote tuyapokee kwa upendo

Namshukuru Mungu sijambo,ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…