Makapuku Forum

3/Corazon Kqamboka
Huyu ni binti wa Kikenya anayechuana na Vera Sidika
Huyu haihitaji hata maneno mengi kumuelezea
Umri wake ni miaka 24 tu
........
Yuko vizuri .


Na wote wanavutia na wana vipaji ila wangejitahidi kuvaa mavazi ya kuwasitiri,sina uhakika kama wakivaa hivi ndio wanavutia zaidia au ni mtizamo tu,zipo nguo nzuri za kuvutia na kusitiri ninauhakika wakivaa watakuwa warembo zaidi,niwazuri sana kwakweli na yale mambo anapenda ndugu yangu SHIMBA yote yamekamilika
Mungu awabariki na kazi zao ziendelee kuwa njema
 
Ujumbe bora kabisa, Asante mama mchungaji
 
2/Joselyn Damas

Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,A Sting in aTale na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…