Ngoja leo nimsaidie T kidogo najua sitakuangusha shemela wange
NUKUU YA LEO
Usitegemee mtu akutunzie siri ambayo wewe mwenyewe umeshindwa kuitunza hadi ukaenda kumwambia yeye.
haya maneno yamewahi tamkwa na Masanja Mkandamizaji
Ni mume wa dada aitwae Monicca
muwe na siku njema mbarikiwe.