BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema ubarikiwe mkuu Shededehabar wakuu habar nigani
Njema ubarikiwe mkuu Shededehabar wakuu habar nigani
Asante Obe,ubarikiwe uwe na siku njema sanaShululu , BlessedHope asanteni kwa kuianzisha siku hii ya Ijumaa kwa magazeti na sala.
Group hili ni bora sana kwa sababu ninyi mu sehemu yake. Asanteni
Asubuhi njema Makapuku, tukumbuke leo ni Ijumaa so, tuendeshe n kutembea kwa hadhari

Asante kwa magazeti mkuuSina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji BH, nawatakieni wote ijumaa njema
Asante sanahahahahaha..... wakati mwingine huwa nawaza kwamba inatupasa tuwe-humble
mtu unaweza mwambia kwa unyenyekevu akakuskia ndio lakini huo unyenyekevu wako ulio utumia wala hautasaidia ivyo basi mwambie kwa hisia hasi (-) weather u-shout au kwa hasira mf.."usimwage mboga utakula wali mkavu"
labda pengine ndo jadi yetu wabongo bila kuambiwa kwa hasira au kwa sauti hatuwezi jiongeza wakati mwingine nafikiriaga bola kama tumeshindwa kuyafanya yaliyo yetu bora tukaige ya magharibi ....(my opnion)
"tembea pole pole barabara sio ya mamako" aisèee mnaweza liona hili neno linautata lakini ni neno lenye hisia zaidi pengine aliyeliandika(editor) alifikiria ajali zinazotokea madhara makubwa ambayo tunapata ukilenga zaidi kwenye nguvu kazi ya taifa kupungua........
asubuhi njema familia yangu
Asante sana kwa magazeti mkuu kazi yako ni njema ubarikiweSina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji BH, nawatakieni wote ijumaa njema

Amen ubarikiweZABURI 143
8.Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi ,Kwa maana nimekutumainia Wewe Unijulishe njia nitakayoiendea ,Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.
TUOMBE
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi asante kwa siku mpya ya leo na kutuamsha salama,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo walikua na mipango mingi na maono mbalimbali lakini hawajaweza ,wengine umewaita,wengine ni mahututi vitandani,wengine wanachangamoto mbalimbali Baba sisi ni nani hatuna cha kukupa zaidi ya kusema Asante![]()
Tunaomba utusamehe makosa yote tunayotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twa kusihi.
Waponye wagonjwa,fariji wafiwa,watie nguvu yatima,wajane ,wahitaji wakutumainie wewe tu.
Tunakabidhi mapito yetu yote,nyoosha njia zetu Baba tunajikabidhi kwako tujulishe njia sahihi ya kuiendea siku yaleo
Tunaomba maafa ya mvua yaishe ponya majeraha yote ya mafuriko,maporomoko,mvua isiyokoma ,neema yako itawale.
Bariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani wafike salama
Tunaomba Amani na Upendo vitawale
Tunaomba bariki kazi za mikono yetu
Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze ,tusipungukiwe.
Katika jina la Yesu tunaomba na kushukuru Amen
Raha ya milele uwape marehemu wote,na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
Shululu , BlessedHope asanteni kwa kuianzisha siku hii ya Ijumaa kwa magazeti na sala.
Group hili ni bora sana kwa sababu ninyi mu sehemu yake. Asanteni
Asubuhi njema Makapuku, tukumbuke leo ni Ijumaa so, tuendeshe n kutembea kwa hadhari

Jambo afandeehabar wakuu habar nigani
KamweneKumekucha Bitoz.
Gwalembuka dadaAsante sana kwa magazeti mkuu kazi yako ni njema ubarikiwe![]()
Tunamshukuru Mungu,nimeamshwa salama,asante kutukumbusha ubarikiwe sana kakaMmeamkaje humu ndani
UMAKINI KATIKA KAZI ZAKO HUONGEZA UFANISI WA KAZI YAKO
Amen dadaTunamshukuru Mungu,nimeamshwa salama,asante kutukumbusha ubarikiwe sana kaka
Nalembuka kaka twa kukajaGwalembuka dada
Tununu dada ukali kujakata ukuja kumbomboNalembuka kaka twa kukaja
Morning mndali, habari za mbeyaMorning shululu
Pamoja sana mkuu mndaliAsante kwa magazeti mkuu
Asante mama mchungajiAsante sana kwa magazeti mkuu kazi yako ni njema ubarikiwe![]()
Mbeya kwema mkuu habari za hapo kibahaMorning mndali, habari za mbeya