Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ratiba ya mechi za leo
f5be243ea09cc67cfee5c861cc0bb3d2.jpg
 
Zamani alikuwa adui yangu mkubwa ila taratibu nimeanza kumuelewa
Kuna kipindi anaongea point kubwa mfano juzijuzi nimemuona akimpa makavu Mchawi jr baada ya kuandika kitu asichokijua "Vita ya Chechna na Herzogroaslavia"
Nikabaki kucheka tu maana ni ukweli mtupu
.
Sarajevo Herzegovina
.......
Yeah. Yeye na Jr. huwa hawapatani kabisa. Hata kwenye mambo ya uchawi huwa wanatambiana na kutukanana sana. Wanajuana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom