Wakupe wewe angalau kwa miezi mitatu hivi ujaribu?
Huyu mzee Hii Wizara haimfai
.....
Jamani eeh! Shedede kapotea. Sasa Husna utamsubiri mpaka lini? Wakati mijibaba tena ya nguvu tupo hapa? Shunie rekebisha mambo please ili Shimba na Husna IKIWEZEKANA wawe couple mpya hapa Makapuku. Husna (jina zuri hili!) unasemaje?
Tena milele na milele (japo wanasayansi wanadai hakuna milele!)makapuku idumu
AsanteTOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo
Karibuni
..........
Natumaini ndondi na Mixed Martial Arts havitakosekana! Ordering popcorn now...10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
We naeeeBora aniachie Shululu wangu
KweliWakupe wewe angalau kwa miezi mitatu hivi ujaribu?
Kuna hoja imezuka duniani kote kuwa pengine democracy (whatever that means) has run its course na kwa sasa dunia inatafuta mfumo mpya. Hali ya kiuchumi inavyozidi kuwa tete na pengo kati ya masikini na matajiri likizidi kuongezeka, demokrasia pengine haitafaa tena katika kuleta ridhiko na utangamano katika jamii. Badala yake udikteta (katika sura zake mbalimbali) ndiyo mfumo pendelewa. Marekani yenyewe ambayo ndiyo ilikuwa mlinzi wa demokrasia hii ya Kimagharibi leo hii chini ya Trump hali imeanza kuwa tete.
Anyway, huyu mzee ana tabia ya kutoa matamko ya ajabu kwa hivyo hata hili halishangazi sana japo inavyoonekana hii wizara mpya hii ameikamia kweli kweli. Twafaaaaa!!!
Mi nataka binamuunamtaka binamu uwe unaburudishwa na good music au shedede binamu anajua kulea mtu mzima huyo eb jibu ringaa kama kawaida yako wakichukuliwa ulie ulie
Hii ni 10 tuNatumaini ndondi na Mixed Martial Arts havitakosekana! Ordering popcorn now...
Na wangu ni obeshululu ni wako tumosa hakuna wa kukuingilia
Hatari ila watakuwa wanajiandaa mazoezi ya kutosha10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
Tena nitatulia km MTU anaejamba
Sawa papaAMorning husna.....hebu badili hiyo avatar ya huzuni
Alimwekea Daby alivyomuacha
Mdomo unaumba acha kujitamkia mambo yasiyo kweli,yakitokea utaomba nikuombee,siku utashtukia transfer from masaki to manzese kambi ya fisi.
Hizi fake ID 's zinatufanya tutamke mengiiiii, Mungu atusaidie tupone
Hebu sikiza khs ULIMI
YAKOBO 3
9.Kwa huo twsmhimidi Mungu Baba yetu ,na kws huo twalaani wanadamu waliofanywa kws mfano wa Mungu.
10.katika kinywa kilekile kwatoka baraka na laana
Hebu tujitabirie mema na mazuri,sisemi manzese ni pabaya lakini sifa ya uwanja wa fisi wote tumewahi isikia hivi kweli mpendwa wangu Shunie unapenda kuishi hapo,basi tafuta mahali pengine hatutakuja
Mchezo yote watu hufanya mazoezi ila ajali ni ajaliHatari ila watakuwa wanajiandaa mazoezi ya kutosha