Makapuku Forum

Halafu leo lile babu la Kinyaki linaloongoza Wizara ya Utamaduni na Habari linapotosha watu "hakuna wanamuziki waliowahi kufanikiwa na kuimba siasa" ni maneno ya kipuuzi yaliyozidiwa uelewa hata na kuku mwenye mdondo
Prof J kawahi kuimba "Ndiyo Mzee"
Nakaaya Sumari "Mr Politician"
Nas kaimba "I Can"
Akina Snoop ndo balaa
Sugu pia kaimba na wengine wengi tu
.Huyu mzee ni mzee mpuuzi zaidi kutokea huko Nyanda Za Juu Kusini au wakati wakiwatumia kipindi cha Uchaguzi walikuwa siyo wasanii
.........
 
Kumbe hiyo slang ni toka kitambo

Una bahati sana mkuu

All the time God is good
 
Ha ha haaaa. Eti "Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?"

Sijamsikia siku nyingi hapa JF. Jeshi la mtu mmoja. Hata muwe 100 atawashinda tu kwa hoja (na matusi ya hapa na pale) pamoja na mafungu ya vitabu vitakatifu na marejeo mbalimbali.
Zamani alikuwa adui yangu mkubwa ila taratibu nimeanza kumuelewa
Kuna kipindi anaongea point kubwa mfano juzijuzi nimemuona akimpa makavu Mchawi jr baada ya kuandika kitu asichokijua "Vita ya Chechna na Herzogroaslavia"
Nikabaki kucheza tu maana ni ukweli mtupu
.
Sarajevo Herzegovina
.......
 
Kumbe hiyo slang ni toka kitambo

Una bahati sana mkuu

All the time God is good
Wajamaika wanaongea Kiingereza cha Uingereza. Ndiyo lugha yao rasmi. Hata hivyo wana lahaja yao tambulishi ya Kiingereza iliyochanganyika na lugha za Afrika Magharibi walikotoka na hata Kihispania. Kuwaelewa inabidi usikilize kwa makini. Ndiyo lahaja aliyokuwa akiitumia Bob. Ukichanganya na ukweli kwamba alikuwa high most of the times basi ni "shida" tupu!
 
Hakika mkuu

All the time God is good
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…