HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Unakosa mambo matamu.... Huyu dada aishi ladha.Mi bado sijauona wala kuusikia zaidi ya kuusoma kwenye mitandao tu, ila ntaitafuta Youtube walau nipate kuusikia
Unakosa mambo matamu.... Huyu dada aishi ladha.Mi bado sijauona wala kuusikia zaidi ya kuusoma kwenye mitandao tu, ila ntaitafuta Youtube walau nipate kuusikia
Mzee masafariPenda sana nyie naomba niwaageni kesho naelekea Juba Sudan kupitia Kahama Bk Kampala, tawamiss sana
Safiri salama,Penda sana nyie naomba niwaageni kesho naelekea Juba Sudan kupitia Kahama Bk Kampala, tawamiss sana
Safiri salama....kumbuka kubeba tungulu mzee ukajikinge huko wasijePenda sana nyie naomba niwaageni kesho naelekea Juba Sudan kupitia Kahama Bk Kampala, tawamiss sana
Siwezi kukuwazia vibaya, maana mpaka sasa sijajua episode 3 utatoka vepeHahaha jimena, leo niko kivingine, usiniwazie mabaya...napenda bila sababu dadake
Labda alikuwa anatumia bando kichawiSafiri salama,
Kwani Sudan hakuna access ya internet??
Tutakumiss pia brother
Kamili GadoSafiri salama....kumbuka kubeba tungulu mzee ukajikinge huko wasije
Safiri salama....kumbuka kubeba tungulu mzee ukajikinge huko wasije kukupoteza
Hilo nalo neno! Hashindwi kuwa anaenda na ungo simu anaiacha home kwakeLabda alikuwa anatumia banco kichawi
![]()
![]()
![]()
..................
Ntajitahidi kuutafuta maana sio kwa kupitwa hukuUnakosa mambo matamu.... Huyu dada aishi ladha.
Bado najipange ntokeje, labda tukae kando mimi nawe tupange mkakati mahususu tukija hapa sebuleni tuamshe popo naona jukwaa lina sinziaSiwezi kukuwazia vibaya, maana mpaka sasa sijajua episode 3 utatoka vepe
Labda alikuwa anatumia bando kichawi
![]()
![]()
![]()
..................
Nitakuwa hewani mpaka jioni ya kesho then nitatoweka kwa muda mpaka nifikeHilo nalo neno! Hashindwi kuwa anaenda na ungo simu anaiacha home kwake
Mshana heshimako mkuuThanks mkubwa na wanae![]()
![]()
![]()
Nikukutana nae siku nyingine huku Mabibo lazima nimpige search nione km ana hiriziHilo nalo neno! Hashindwi kuwa anaenda na ungo simu anaiacha home kwake
Basi utakaporejea hewani usikose kuripoti hapa kijiweni, baraka zetu tumekupaNitakuwa hewani mpaka jioni ya kesho then nitatoweka kwa muda mpaka nifike
Unadrive ?Nitakuwa hewani mpaka jioni ya kesho then nitatoweka kwa muda mpaka nifike
AaaamenBasi utakaporejea hewani usikose kuripoti hapa kijiweni, baraka zetu tumekupa