Makapuku Forum

Huo ni mwili wake kweli mbona kama kajazwa jazwa as a toy?
Inaonekana uko makini sana katika kukosoa miili ya watu. It seems you are physically perfect Mr. Nyagei


Ni binti tu mjasiriamali na ana duka lake la nguo mtandaoni. Kuna picha amevaa bikini anauza. Kama ni toy kusema kweli sijui ila ni kibonge wa wastani mweupe na mrembo ajabu (at least kwangu). Ni mwanamke aliyekamilika. Mwanamke wa ndoto zangu. Shunie njoo unisaidie kumtetea huyu binti huku...
 
Amen,nafurahia shuhuda hizi:

UFUNUO WA YOHANA 12

11.Nao wakamshinda kwa damu ya mwana -Kondoo ,na kwa neno la ushuhuda wao...

Hakika shetani ndiye baba wa uongo akisikia ushuhuda huu atatetemeka na kuwafanya watu wapone wawe msaada kwa wengine,tumwombe Mungu atusaidie tuwe tayari kutenda mema ,na kutoa shuhuda...

UBARIKIWE SANA KWA UPENDO
 
Ubarikiwe sana SHIMBA YA BUYENZE
 
Bofulo hili kwa chai na blue band tamu sana
Ndio mambo yako hayo
Sio perfect 100%

Ila anajiachia sana huo mwili ni wa kivivu sana, in short lifestyle yake si nzuri.

Umesema ni mwanamke wa ndoto zako vizuri sana ila jaribu kumpangia diet na mazoezi ili awe na sexy body very attractive.
Mmh mnakagua sana
Sio kukagua sana mama kidogo tu

Nimeshtuka kumuona alivyojiachia hivyo, mwili umejaa calories.
 
Reactions: Obe
Kila mtu na maisha yake. Wewe ni nani mpaka umpangie mwingine jinsi ya kuishi? Eti nimpangie diet, ili iweje? Sexy body attractive ni ipi? Is it universal? I can't believe this!

Kwangu mimi hivi hivi alivyo na ubonge wake ngozi laini nyama nyama ndiyo perfect. Wewe hangaika na huyo wa kwako mwenye sexy attractive body na mwili usio na calories.

Naweza kuona udikteta wa kutisha nyumbani kwako, kwa mkeo na watoto (siku utakapokuwa nao). Najua pengine ungali kijana upo shuleni na hizi universals za uzuri wa kizungu zimekukamata kweli kweli mpaka uko tayari tena bila aibu kabisa kumpangia mtu kanuni za uzuri, body type mpaka mlo. Umenishangaza sana kwa kweli!

Ngoja nikupe email yake umshauri kuanza hiyo diet ili awe na hiyo attractive sexy body mkuu...
 
 
Email nitatuma kwako kisha wewe una-apply nae maisha yanaenda.

Uzungu ulipita kushoto

Vimbau mbau ndio interest yangu nawe mizigo ya haja ndio interest yako basi sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…