3/Beji Caid EssebsiHuyu ni kiongozi wa Taifa la Tunisia...amezaliwa tarehe 29 Novemba 1926
Kayapata madaraka akiwa na umri wa miaka 88 ilikuwa ni baada ya kuangushwa kwa utawala wa Ben Alli uliodumu kwa miongo kadhaa
Ana umri wa miaka 90
.............
miss u wewe piaNimemis mnooo
Hivi hukuusema ana kifriji???Anazo asee nimemmiss huyo mkaka jamaan ana mwili flan si unajua lee mtu wa mazoezi
huyu mzee mugabe ni jiniazi! afu hata yeye mwenyewe ajijui kama yeye ni jiniazi,1/Robert Mugabe
Komredi Mugabe ndiye Rais wa Zimbabwe
Alizaliwa Februari 21 1924
Wakati Zimbabwe ikijipatia uhuru wake yeye alikuwa Waziri Mkuu
Akawa Rais tarehe 18/04/1980 akichukua nadaraka kutoka kwa Rais Banana ambaye ndiye Rais wa kwanza wa Taifa hilo
Tangu hapo anaitisha uchaguzi kama kuzuga tu na hsta akishindwa haachii mafaraka...
Nchi yake ndo nchi maskini zaidi duniani kwa sasa kiasi cha kuanza kurudi kwenye barter trade kutokana na vikwazo na mfumuko wa bsi kiasi kwamba Dola trilioni 100 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani isiyofikia hata buku tu la kibongo1000/=) yaani hata mkate haitoshi kwasasa wameamua kuruhusu matumizi ya Dola ya Kimarekani pamoja na Rand ya Afrika Kusini maana pesa yao ipo hoi
Ana imri wa miaka 93
.
.
.
.Shukrani kwa wote waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
...............
kuna watu wana bahati3/Beji Caid EssebsiHuyu ni kiongozi wa Taifa la Tunisia...amezaliwa tarehe 29 Novemba 1926
Kayapata madaraka akiwa na umri wa miaka 88 ilikuwa ni baada ya kuangushwa kwa utawala wa Ben Alli uliodumu kwa miongo kadhaa
Ana umri wa miaka 90
.............
KigomaPemba au kigoma
Aisee2/Malkia Elizabeth II
Buyu bibi amezaliwa tarehe21/04/1926(miaka minne baada ya kuzaliwa Mwalimu JK Nyerere)
Ndiye Malkia wa Uingereza kuanzia mwaka 1952
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia aliebda vitani akiwa kama dereva na makenika
Ndiye bibi wa watoto wa Princess Diana akina Prince William na Harry
Ni mama wa Prince Charles
Ana umri wa miaka 91
...........
Come on son, Camomile na green tea pia nakunywaIna ujana mwingi
Utazeeka vibaya daddy
Kibibi cha chuma2/Malkia Elizabeth II
Buyu bibi amezaliwa tarehe21/04/1926(miaka minne baada ya kuzaliwa Mwalimu JK Nyerere)
Ndiye Malkia wa Uingereza kuanzia mwaka 1952
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia aliebda vitani akiwa kama dereva na makenika
Ndiye bibi wa watoto wa Princess Diana akina Prince William na Harry
Ni mama wa Prince Charles
Ana umri wa miaka 91
...........
vunja mifupa kama meno bado ipolee mwenyewe sio mnywaji kiivyo
Khaaaa toka lini shululu wa tumosa we si ulimkataaShululu wangu yuko wapi?!
Husna mzimaSi uliniambia utanipa shemeji yako shululu
Mm mbona nipo kwa Yesu mda tuMwambie Shunie aje kwa Yesu
Si ulikataa haujatoa jibu mpk unaniuliza mm nimekuwa kuwadi nishampa tumosa ww kaa nikutaftie mwingineSi uliniambia utanipa shemeji yako shululu
Huyu nimeona Jana katoa msonyo wa ajabu nikakumbuka kati ya watanzania wale wanne mmoja kichaaUmetumwa wewe
Ahsante kwa nyongeza mkuuNilitegemea awepo kwenye list.
Amekula chumvi ya kutosha. Nafikiri katika maisha yake hajui kitu kinaitwa shida, njaa, tabu nk.
Kwa faida ya wote:
Malkia Elizabeth hajawahi kurudia nguo wala vito vya thamani anavyovaa.
Ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.
Pia ni mkuu wa nchi za Canada na Australia.
Anae baby wake mondrayShangazi usipende kuja huku kwa kuwa watakutongoza jamani!