Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ooh ..hayupo tena dear alishatwaliwa...angekuwa hai ungefurahi alipenda sana wajukuu...Apumzike kwa Amani![]()

Ooh ..hayupo tena dear alishatwaliwa...angekuwa hai ungefurahi alipenda sana wajukuu...Apumzike kwa Amani![]()

UbarikiweAsante dada

siwezi kabisaUnakata sio lazima kula
sijakuelewanisharudi tayari
Mi naitwa ndanyelakakomu sio mkolomijemkolomije aje aje
Itakuwa ya historia ujue,tuombe Mungu uzimaHawa watoto wa burger tutawaandalia vyakula vya kiafrika wakahadithie![]()
![]()
![]()

AmenUbarikiwe![]()
AiseeMchezaji wa zamani wa Ac Milan ameamua kuwa baunsa![]()
......
Salama mkuuza jioni mazeiya
Naufungua niusikilize,Mungu abariki kazi ya mikono na kinywa chako,ufanikiweHabari zenu ndugu zangu...
Naomba muusikie wimbo wangu huu nilio imba mwenyewe..
nimesha rikodi nyimbo 2 zakwangu ila hazijawahi kulizwa popote labda kwa marafiki zangu wa nyumbani.
wimbo huu nimeurikodi December 2016
natumia jina la dah pressure mungu akipenda nitabadiri liwe Mondray
nikosoeni please..

Jana umeniambia uko Pemba au sikukuelewa vizrkigoma
Oooh kumbe!nashukuru nasubiri kutambulishwa shemelahuyo anaitwa husna toka mwanzo nilimwambia akae kwa shemela shululu atulie ale maisha akawa haeleweki kaenda kwa mondray kuruka ruka naona huko yameshamshinda
anataka kurudi huku ndio haiwezekani tena tumosa tumeshakukabidhi usijal mamy shululu ni wa kwako pekee hana makando kando ana tabia kama za baby wangu halaf sijakutambulisha kwa Mr wangu ngoja akirudi nitakutambulisha

Kila mtu na msiba wake mwenyewe![]()
![]()
![]()
![]()
Wengine tunalia mafuriko
Wengine wana vilio vyao
nipo unguja sio pembaJana umeniambia uko Pemba au sikukuelewa vizr
Hilo dini ni la kilimoJamii forum watu sio wajinga wajinga
Kuandika kitu kwa dhumuni maalum....ndio maana kuna waanzisha thread kuhusu dawa za asili ili tu wapate wateja tena utasikia hakuna ambaye hakupona baada ya kutumia dawa...mara natibu hadi Ukimwi
Ukiingia kichwa kichwa na kuamini kila kitu utaliwa
Mfano
Hili jiwe ni madini gani?
...........