Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
teh tehWeka mbali na Arsenal![]()
![]()
teh tehWeka mbali na Arsenal![]()
![]()
Ng'ata baba usiogope
Ukweli utakuwepo tuwaulize watu wa Njombe
Mondray mzimaza jioni mazeiya
Thanks Mr CongomanThanks Chaplin.....be blessed
Engineer wa watoto au?Engineer
mzima leo sijaenda kuvuaMondray mzima
Unakata sio lazima kulaMm mkono wa kulia jamaan ndio nakulaje kucha sasa![]()
![]()
Poleni sana dadayanazidi tu liliwaka jua la uongo na kweli mvua imeanza tena sasa hivi
nisharudi tayarihuyo anaitwa husna toka mwanzo nilimwambia akae kwa shemela shululu atulie ale maisha akawa haeleweki kaenda kwa mondray kuruka ruka naona huko yameshamshinda
anataka kurudi huku ndio haiwezekani tena tumosa tumeshakukabidhi usijal mamy shululu ni wa kwako pekee hana makando kando ana tabia kama za baby wangu halaf sijakutambulisha kwa Mr wangu ngoja akirudi nitakutambulisha
mkolomije aje ajePoleni sana dada
Transcend atakuja kumuelezea vizuriHuyu Jamaa atakuwa watu walimwondoa
Alifariki mwaka 1963Kumbe chalii tu![]()
Ni kweli kumbe uliona ,nilikuja kujua imeshapita,ngoja tutarewind siku moja tushereheke![]()

Pemba au kigomamzima leo sijaenda kuvua
Itakuwa burudani sanaHawa watoto wa burger tutawaandalia vyakula vya kiafrika wakahadithie![]()
![]()
![]()
kigomaPemba au kigoma