Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji15] [emoji15] [emoji3]shemela shululu na tumosa
[emoji15] [emoji15] [emoji3]shemela shululu na tumosa
Naona anafananisha Mimi na wasukuma na mwambie tuko wengi tutaandamanaAnakufananisha na SHIMBA YA BUYENZE
Basi uwongo[emoji4]hahahhh sitaki
Sawa mkuuYuko Unguja ila ni from KG town
Huku ni salama kabisa,safiiiii tu sijui huko ulipo
[emoji23]Mfyuuu
[emoji736] [emoji736]Hakika
Abiria chunga mzigo wakoShemeji nmehisi rangirangi nkaona icwe tabu ngoja niulze
Utakuwa umedekezwa sana weye!!!nipo alone kwa dadii
[emoji23] [emoji23]Nakuona katika ubora wako na queen kan [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Sawaok naleta now
[emoji133] [emoji133] [emoji133]Mke mwenzake
[emoji17] AmenOoh ..hayupo tena dear alishatwaliwa...angekuwa hai ungefurahi alipenda sana wajukuu...Apumzike kwa Amani[emoji120]
hahahaha sawaMi naitwa ndanyelakakomu sio mkolomije
Mi mzima wewe je
Ndio mkuuAkili za kuambiwa changanya na zako
Huo uzi mimi nilishsusoma tangu siku ya kwanza kupostiwa
Hivyo najua kilichoandikwa
Sawa Mkuu
..............
Haswa[emoji108] [emoji108] hvi shululu kaenda wap tenaAbiria chunga mzigo wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona anafananisha Mimi na wasukuma na mwambie tuko wengi tutaandamana
Nao mzuri kijana kaza kamba utafika kama wimbo wako unavyo semamwingine huu nimeurikodi july 2015 ikiwa ni mara yangu ya kwanza kurikodi wimbo studio