BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Sanaaa ila mimi dona,dagaa,majimbi,maboga na ninalima mihogo na viaziDaaah vyakula vya dar ni hatari kwa afya
Sanaaa ila mimi dona,dagaa,majimbi,maboga na ninalima mihogo na viaziDaaah vyakula vya dar ni hatari kwa afya
HahahAlituambia
All the time God is good
View attachment 507037Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa My B,Tumosa

Hahahah niliwamis sana nyie ndugu hapa machekaaaaaaPumzika kidogo,niwekee juis kidogo wakati namalizia kuangalia mpira
Twifwa hangi?ndauli ?unogageNgoja nichungulie nione kama wapo
![]()
![]()
![]()

Dada mbona nikipiga kilugha na mama mchungaji huwa hamshangai?
Senks Joh.....NUKUU YA LEO
Family is the most important thing in the world
Familia ni kitu muhimu zaidi duniani
![]()
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Diana Francis ama Princess Diana of wales.
Princess Diana alizaliwa 01/07/1961 katika jiji la Norfolk, Diana ni mtoto wa nne wa John spencer na viscout Althorp.
Princess Diana aliolewa na Prince Charles mwaka 1981 na kuzaa nae watoto wawili Prince William na Prince Harry kabla ya kutalakiana mwaka August 28 mwaka 1996.
Princess Diana anakumbukwa sana kwa kazi zake za kujitolea kwa watoto na kampeni zake mbali mbali za utetezi kwa wanyonge.
Princess Diana alifarikia kwa ajali ya gari nchini Ufaransa siku 363 baada ya kutalakiana na Prince Charles .
Kuna utata sana juu ya kifo chake huyu mama..Ripoti ya serikali inasema ni uzembe wa Dereva wake kwa kuwa alikuwa amelewa lakini kuna tetesi zinadai kifo chake kilipagwa na M16 ya uingereza baada ya Diana kuwa na uhusiano na mtengeneza filamu wa ki-misri Dodi Fayed.
![]()
![]()
Kila mtu anapenda familia, kwa wale ambao mpo kwenye ndoa mtakuwa mmenielewa kirahisi...
Kila mtu anataka awe na good family..
Niwatakie kila la kheri.

karibu sananapumzika kdgo jaman nizoee mazingira
HahhahhhaMwache apumzike, amechoka na safari
KabisaUjue nimeachiwa kazi ya kuwachungeni na mama mchuchu
All the time God is good
Amen.....Sifa na Utukufu ni kwa Mungu pekeeZABURI 116
1.Haleluya,Nampenda BWANA kwa kuwa anansikiliza sauti yangu na dua zangu.
2.Kwa maana amenitegea sikio lake,Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
3.Kamba za mauti zilinizunguka,Shida za kuzimu zilinipata,Naliona tabu na huzuni.
4.Nikaliita jina la BWANA ,Ee BWANA ,nakuomba sana ,uniokoe nafsi yangu.
5.BWANA ni mwenye neema na haki,Naam ,Mungu wetu ni mwenye rehema.
6.BWANA huwalinda wasio na hila,Nalidhilika akaniokoa.
7.Ee nafsi yangu urudi rahani mwako,Kwakuwa BWANA amekutendea ukarimu.
8.Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,Macho yangu na machozi Na miguu kuanguka
9.Nitaenenda mbele za BWANA katika nchi ya waliohai.
10.Naliamini ,kwa maana nitasema Mimi naliteswa sana
11 Mimi nalisema kwa haraka yangu wanadamu wote ni waongo
12 Nimrudishie BWANA nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
13 Nitaipokea kikombe cha wokovu;Na kulitangaza jina la BWANA,
14 .Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA,Naam ,mbele za watu wake wote.
15.Ina thamani machoni pa BWANA mauti ya wacha Mungu wake
16 Ee BWANA ,hakika mimi ni mtumishi wako,Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako,umevifungua vifungo vyangu .
17.Nitakutolea dhabihu ya kushukuru ;Na kulitangaza jina la BWANA.
18.Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA ,Naam ,mbele ya watu wake wote.
19.Katika nyua za nyumba ya BWANA ,ndani yako ,Ee Yerusalemu.
Wapendwa nashukuru sana Mungu ameniponya ,nawashukuru kwaupendo, maombi na kunijali haikua rahisi ila Mungu amenitendea makuu kwa maombi yenu.
MBARIKIWE SANA SANA,NAWAPENDA MUWE NA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha khaNimempatia burgerna juis kwanza
F.FUshilikiano => ushirikiano
All the time God is good
Nilikuwa nawasubiria MashotoAcheni hizoo basi..

Morning ChaplinMorning papaa
All the time God is good
HahahahaMaji ya kuoga tayari
shululu muonyeshe bafu mgeni
All the time God is good
$50cent*2200tshs=1100tshsHawataki spoti
All the time God is good