shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nimeuonahahahhh shemela uliniambia nitoe mwongozo
Nimeuonahahahhh shemela uliniambia nitoe mwongozo
rahisi niniMbona rahisi tu
All the time God is good
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Pamoja sana
.
..
.wale jamaa uliowasema kwamba "wanaiga huu Uzi" wasikuumize kichwa....kawaida thread kuanza kwa spidi kisha hupotea taratibu
Hii yetu haifi kwavile inahuusu mada mchanganyiko na inabadilika kila siku kulingana na matukio sasa watu watajadili kitu kimoja usiku hadi mchana kila siku si watachoka tu
Pia sisi hakuna kujikweza kila mtu anajisikia hapa kwake na hata kupeana like sio ishu sasa fikiria sehemu ambayo kila mtu anajiona supastaa na kuchati kwa mjuano
......
Haaaaahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiibuka anaenda kucomment hovyo ili forum iwe update
Ushilikiano => ushirikianoAnatoa ushilikiano
Nimempatia burger [emoji488] na juis kwanzashemela shululu atampatia
SawaShunie kanpatia tayari
kwahiyo ulimaanisha ni shemeji yakoNakana nini?.....nimesema kumbe Mgeni ni mdogoake Mama Mchungaji
Kazi imekwisha hapo![]()
Hadi sasa Juve keshaingia fainali kumfuata Real Madrid
.
.
Kwa kufuli wanalolifunga Wataliano sioni Monaco akiambulia hata magoli pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Unamjua huyo?Ucjali nmemuona jran yngu ndo maana nkachombeza kikwetukwetu
sawa shemela nakuaminiaNipo nilikuwa nafanya shopping super market, si unajua tena
Aisee haaaaahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka shemela nimemkuta jukwaa la wakubwa anasifia sifia picha
Akija mondray atapata changamotoMbona aliyepewa hatoi ushirikiano stahiki apate changamoto kidogo
All the time God is good
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule demu kiboko aisee halaf ni mzuri sana jamaan sijui nini anakosaTukio lililomo
All the time God is good
Leo wametia fora aiseeTanesco kaka
All the time God is good
Anhaa bahati yakoNakana nini?.....nimesema kumbe Mgeni ni mdogoake Mama Mchungaji