Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Poa wana sema nzi kufia kwenye kidonda.....Wacha apige tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa wana sema nzi kufia kwenye kidonda.....Wacha apige tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na maafro yakeWakongwe mpooooo
Sasa Chitchat iamkeeeee
Fulani upooooooo
Nanihii upooooooo
Ngedere upoooooo
Wakongwe mmelala?
[emoji208] sa sio wa spotispoti
Page nzima anakandamiza peke yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Atakuja na makeke huyo muda sio mrefuatatoa tu ngoja azoee bado mgeni ujue
[emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhh anataka kuleta undugu laisationNimeona aisee
hahahhhAtakuja na makeke huyo muda sio mrefu
All the time God is good
Sawa dada furaha huwa no chanzo cha afya njemana ninavyopenda kufurahi sasa kaka akee
nakuona kaka na kilugha[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Usicheke[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka shemela nimemkuta jukwaa la wakubwa anasifia sifia picha
ni utafiti wa kisayansi ambao bado hujafanikiwaNatafuta mwenza wa kike. Baridi ya iringa inaniua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli niache nicheke ulikua unajifanya mlokole wwUsicheke
All the time God is good
Kama alituma basi kafunguliwa mimi nilituma mwezi sasa ila leo ndio nimeona limefungukahahahh halaf nakumbuka alishatuma maombi ya kuingia ipo siku tu tutamuona yaan kama namuona akiingia
Ni kweli kakaSawa dada furaha huwa no chanzo cha afya njema
Basi amejibu mwenyewe dadahahahhh kwa nn kaka
Nilipakua ikabidi niifute ilinizidi uwezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishangaa ujue nilivyoona kwenye group mtu alituma nikaileta kule kweli siku za mwisho zimekalibia
hahhaha na yy atakua kafunguliwa jamaan nitakomaKama alituma basi kafunguliwa mimi nilituma mwezi sasa ila leo ndio nimeona limefunguka
All the time God is good
Ndiohalaf kuna siku niliona umemuuliza mbona unachat peke ako
Hahahaaa mkuu confidence yote hii najua mtu kati upo, huwezi kuniacha niteketee hvhv mdg wako, ukiona napigwa za uso njoo uamulie fastaPoa wana sema nzi kufia kwenye kidonda.....
MhhhhhhmhhhhhHahaha
Mbona kuko poa tu unasoma na kufanyia majaribio
All the time God is good