Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kwani hutaki mteja wa kudumu
Kwani hutaki mteja wa kudumu
Napenda sana watejaKwani hutaki mteja wa kudumu
hahahha na kweli kaka angu mm nakutakia kila la kheri tu kwenye kumuungisha aganza kwenye biashara yakeKweli Dada na ikiwezekana bidhaa ikiwa nzuri niifute kabisa maana ujasilia Mali ndo msingi wa vijana
Sawa mkuu we nielekeze Hiyo biashara niwe mtejaNapenda sana wateja
Kwa nchi ya kolomijeKutakuwa kwa nchi ya Kenya au ruanda
Sawa Dada tatizo anaogopa kutangaza biashara yake atangazwe Wateja tununuehahahha na kweli kaka angu mm nakutakia kila la kheri tu kwenye kumuungisha aganza kwenye biashara yake
we mbona sio mjeuri?hahahaha ndio wazuri hao
cc leeCc.lee empire baby wa kwangu mm peke yangu ukuje hunnie
Kizuri kula na nduguyo, naamini atakuwa mpolewe cheka tu ngoja aje
usitamani mke wa jirani yako hiyo amri ilikupitia kandoKizuri kula na nduguyo, naamini atakuwa mpole
hahaha we unajuaje kama mm sio mjeuri ila kweli ujue lazima mmoja ajishushe sio kila mtu awe juuwe mbona sio mjeuri?
umeona wapi mafahali wawili wanaishi ktk zizi moja
Aisee8/Serbo--Bulgarian War1885![]()
![]()
Hii ilitokea mwaka 1885 ambapo Serbia iliamua kuingia vitani kupambana na Bulgaria ikipinga kuwa sehemu ya Bulgaria(kutaka kujitenga)
Lakini matokeo yake wakaambulia kichapo na kushindwa vita kwa aibu
Vita ilidumu kwa siku 14
........
Shemeji zako Kwa nani?maisha yenyewe mafupi haya endelea kuwafurahisha shemeji zangu nifurahi hakuna namna
Asante kwa historia mkuu7/Indo--Pakistan War 1971![]()
![]()
Hii ilikuwa vita baina ya India na Pakistan lakini ni vigumu kuitenganisha na Vita ya kupigania Uhuru wa Bangladesh
Mwisho wa vita Pakistan aliambulia kipigo ambacho kilipelekea nchi ya Bangladesh kujipatia uhuru wake
Ilichukua siku 13
.........
we unajua kwa naniShemeji zako Kwa nani?
Chaplin niajePole shem
Huku pia wanafunzi wa primary walirudishwa nyumbani mpaka Ijumaa ndio masomo yataendelea
All the time God is good
Cc Mndalimaisha yenyewe mafupi haya endelea kuwafurahisha shemeji zangu nifurahi hakuna namna
maandishi yako yanareflect the way ulivyo, shunii kipenzi cha watu sio kapukuz tu mpk huko penginehahaha we unajuaje kama mm sio mjeuri ila kweli ujue lazima mmoja ajishushe sio kila mtu awe juu