Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ndioooo mm ujue ni mke wa leeHahaa vp tenaaa
Ndioooo mm ujue ni mke wa leeHahaa vp tenaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti hivi wanadaiwa bill ngapiJengo linapigwa mnada , mmepewa wiki moja tu, bado kidogo mtahamia maghetoni kupanga[emoji23] [emoji23]
hahahah sawa mzee wa chura churaniWakuu umeme umekatika
Hivyo ujio wa TOP TEN utategemea na muda ambao umeme utawala
..............
Tuachane na hayo !mambo mengine vipi?Kwani Hiyo biashara iko wapi mpaka huku kuwe mbali
sawa shemelaAkikujibu nishitue
Noma sana aiseeSisi tangu saa kumi usiku, ndio umerudi sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Hiyo biashara iko wapi mpaka huku kuwe mbali
Cc.lee empire baby wa kwangu mm peke yangu ukuje hunniemtag kabisa
Tuwavumilie tu dadawasione vinaelea vimegharamiwa
Kumbe nilijua mndaliNiliulizwa mimi
hahahaha ndio wazuri haokajeuri haka nishakaona
Naona unakula tu ubuyu[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhaaNimerudi kuangalia ndo nikajua kuwa mondray si kijana wa kumwacha na shemeji yake
kabisa kaka akeeTuwavumilie tu dada
Kwanini isiwezekaneMtakomboa kwa hizo mia mbili miambili mnazo changisha kwenye mabakuli?
acha tu shoga wananifurahisha shemeji zanguNaona unakula tu ubuyu[emoji3]
Kufurahishana huko sio Kwa nchi hiiacha tu shoga wananifurahisha shemeji zangu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nimerudi kuangalia ndo nikajua kuwa mondray si kijana wa kumwacha na shemeji yake
Mndali aliniuliza, na angaza naye akaulizaKumbe nilijua mndali
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kufurahishana huko sio Kwa nchi hii