BATULUNGE
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 392
- 635
Hahaa vp tenaaakivipiiii yan
Hahaa vp tenaaakivipiiii yan
ila wamefanana sna jaman]![]()
Messirappa gumzo Iran![]()
........

Jengo linapigwa mnada , mmepewa wiki moja tu, bado kidogo mtahamia maghetoni kupangaTutalikpmboa mkuu sisi sio km nyie mlioshindwa kukomboa nyasi tu pale bandarini
Tena mna bahati haziliwi na ng'ombe
![]()
![]()
![]()
![]()
........

hahah sawa shemela mm nakuelewa ujueShemela buana, kinyerezi mimi ni mpitaji tu, sasa hivi nipo zangu conteiner kibaha
hivi uliulizwa ww shemela wanguMimi nipo mail moja
Unajua vzr sana mkuuHebu tuambie nini kimetokea huko TFF NA YANGA
Mkuu ikianza nitakupa mbinu ya kukwepa mishale ya Lee japo najua akikukamata utajuta kuwepo hapa mahali

Mtakomboa kwa hizo mia mbili miambili mnazo changisha kwenye mabakuli?Tutalikpmboa mkuu sisi sio km nyie mlioshindwa kukomboa nyasi tu pale bandarini
Tena mna bahati haziliwi na ng'ombe
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Nitakaribia mkuu, AsantePoa mkuu karibu kwa Mara nyingine tena
Aisee duhTutalikpmboa mkuu sisi sio km nyie mlioshindwa kukomboa nyasi tu pale bandarini
Tena mna bahati haziliwi na ng'ombe
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Akikujibu nishituekivipiiii yan
Kwani Hiyo biashara iko wapi mpaka huku kuwe mbaliHuko mbali
mtag kabisahahahha baby ukuje huku msikie hakujui huyu
Sanaila wamefanana sna jaman![]()
Niliulizwa mimihivi uliulizwa ww shemela wangu
kajeuri haka nishakaonaMchukue umpoze machungu
Sisi tangu saa kumi usiku, ndio umerudi sasa hiviWakuu umeme umekatika
Hivyo ujio wa TOP TEN utategemea na muda ambao umeme utawala
..............
Nimerudi kuangalia ndo nikajua kuwa mondray si kijana wa kumwacha na shemeji yakehahaha hujaona kwenye orodha ya mondray yupo
asante mtetezi wangu yupo ni leeMi nakutetea wewe