Shunie hivyo sio mm nilivyo!!
Najua humu nishajenga image mbaya ya kuonekana labda mm muhuni napenda madem
Ila kiuharisia sina tabia hizoo!!
Uzuri wengi wao hapo washaniona nilivyo
Sipo hivyo kabisa.pimbi anaweza kuwa shahidi au Paptika..
No sikumtongoza mm
Si jinsi nilivyokua namchukulia huku mm najua ni binti tu kama ww
Ooh mama mchuchu daah nilijisikia aibu sana.
She is so very peace and Humble