Makapuku Forum

pamoja sana kiogozi na asante kwa lishe ya asubuh japo nilimisiii nondo zako...

vipi lakini hangover zimeishaa?
 
1925 - Ali Hassan Mwinyi anazaliwa.

Ni Rais wa awamu ya pili ya Tanzania.

Pia amewahi kuwa Rais wa awamu ya tatu ya Zanzibar baada ya kujiuzulu kwa Rais Aboud Jumbe.

Maarufu kama Mzee Ruksa. Ndio Rais pekee wa Zanzibar ambaye si mzaliwa wa Zanzibar kuiongoza nchi hiyo.

Mwinyi ni mzaliwa wa Kisarawe mkoani Pwani.
 
Pamoja
 
1884 - Harry S. Truman anazaliwa.

Alikuwa Rais wa 33 wa Marekani.

Ndiye Rais aliyeidhinisha kudondosha bomu la Nyuklia huko katika miji ya Nagasaki na Hiroshima.

Hiyo ni siku chache mara baada ya kukabidhiwa Urais kufuatia kifo cha Rais Roosevelt.

Rais Harry S. Truman, ni moja kati ya marais wenye vituko vya aina yake kwani ile initial S iliyopo katika jina lake haina maana yoyote ipo kama swaga tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…