AmenMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!
Thanks ShululuView attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
Asante Nyagei kwa kuperuzAmen
Ahsante kwa magazeti mubashara
Na udhamini mnono wa mama mchungaji
Asante Lee kwa UFWakuu tuwe na siku njema ..ila kama kuna marudio msamaha wenu make najua mwekahazina alikuwa anafanya mambo
Pamoja mukongoThanks Shululu
pamojaaa kiongoziiiAsante Lee kwa UF
Umoja ni nguvu
Heavyweight punch
Ndio warefu hivyo
Hakuna marudio hapo Katibu mkuuWakuu tuwe na siku njema ..ila kama kuna marudio msamaha wenu make najua mwekahazina alikuwa anafanya mambo
Mungu akutangulie katika safari yako mkuu ufike na urudi salama. AmenNUKUU YA LEO
I've always wanted to race cars, ever since I was a young boy, as I think a lot of guys have.
Kila mara huwa nataka niendeshe magari, hii ni toka nikiwa mdogo, kama ninavyofikiri kwamba kila kijana anataka
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Muigizaji wa kimarekani Paul William Walker.
Paul Walker alizaliwa Tar. 12/09/1973 jijini California nchini marekani.
Paul walker alifariki kwa ajali ya gari tar 30 /11/2013 akiwa na mshkaji wake Roger Rodas..
Gari yao ilikuwa inakimbia speed ya kawaida ya 72km/hr
Walker atakumbukwa kwa filamu zake nyingi moja ikiwa ni Fast and Furious.
Morning wakuu..
wakuu Nukuu za week hii zitakuwa simple..nashindwa kuweka nyama manake niko safarini..Muwe na siku njema