Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
ahaaaaah hukumbukii juzi katiii ulinikimbiaaa![]()
![]()
mbona unanitisha lkn
ahaaaaah hukumbukii juzi katiii ulinikimbiaaa![]()
![]()
mbona unanitisha lkn
hahahahhah usinikumbushe halaf ww ndio ulinikimbiaahaaaaah hukumbukii juzi katiii ulinikimbiaaa
bosii wanguuu upoo?Chaneli gani hiyo mnayoangalia na Mimi niweke
ahaaaaaah mwehuuu wewehahahahhah usinikumbushe halaf ww ndio ulinikimbia
kaushiaaa
Vipiiiii
cc: 250-BajaBibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humu
Nimeambiwa nitulieVipiiiii
Sipendi kazi ya ulinzinoo extra yaaani mwinginee bin msumbufu
unawezaa ukalamba kibarua leoo
Nini tena dada na Simba yakoAiseee masikini simba yangu![]()
Na wewe unapenda mpiraChaneli gani hiyo mnayoangalia na Mimi niweke
OK vigwaza hapo wanapo gonga vibali wanao enda nje ya nchiKibaha mpaka chalinze huwezi nidanganya, mimi ni mkulima vile vile maeneo ya vigwaza pale
Sawa mkuuTegeta
Hapa ndipo nashindwa kuelewa wanaposema Mungu huwa hakosei kuumba.10/Abby & Brittany Hensel![]()
![]()
![]()
Walizaliwa 1990 wazazi wao wakaambiwa hawataishi zaidi ya usiku mmoja lakini miaka 22 baadaye wakaanza masomo Chuo Kikuu
Wana mioyo miwili, mapafu pea mbili, na ubongo kila mtu na wake ila mmoja anatawala upande wa kushoto huku mwingine Julia
Kila mtu ana leseni yake ya udereva, wanaendesha baiskeli , gari na kushirikiana mambo mengi
.......
Shululu unapajua kwenye hicho kiwanda au hupajui maana naona unaipeleka chalinze wakati mi nataka kukuelekeza hapo jiraniKibaha mpaka chalinze huwezi nidanganya, mimi ni mkulima vile vile maeneo ya vigwaza pale
SawaTegeta