Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 7, 2017 #181,941 shululu said: Hapo sasa na wewe ushangae Click to expand... sasa shemela mbona sijaona unanitetea hapo tu ndio tunapishindwana
shululu said: Hapo sasa na wewe ushangae Click to expand... sasa shemela mbona sijaona unanitetea hapo tu ndio tunapishindwana
SDG JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7,631 Reaction score 8,074 May 7, 2017 #181,942 Bitoz said: Namaainisha mahali/source ambapo historia za nyumbani linapatikana yaani ili mtu awe anatujuza kila siku ........ Click to expand... Anhaaa, Mi nzikumbuka tu mdau,mostly zinapatikana kwente media
Bitoz said: Namaainisha mahali/source ambapo historia za nyumbani linapatikana yaani ili mtu awe anatujuza kila siku ........ Click to expand... Anhaaa, Mi nzikumbuka tu mdau,mostly zinapatikana kwente media
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,943 Nyagei said: Na 2018 utavuja tena 1998, 2008 na 201.....loading Click to expand... Ngoja tuone
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 7, 2017 #181,944 shululu said: Click to expand... Anataka niachike
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #181,945 Shunie said: Naishia hapa mechoka pages nyingii jamaan huko mbele sijui kumeendeleaje kwa lee wangu Click to expand... Uvivu dada hautakiwi
Shunie said: Naishia hapa mechoka pages nyingii jamaan huko mbele sijui kumeendeleaje kwa lee wangu Click to expand... Uvivu dada hautakiwi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 7, 2017 #181,946 shululu said: Ataanzaje kuyaacha kwa mfano Click to expand... hahahha hapana chezea
SDG JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7,631 Reaction score 8,074 May 7, 2017 #181,947 Mwaka 2008 Dr Mwakyembe na Kamati yake ya Richmond wanasoma taarifa ya kamati juu ya kashfa ya Richmond na baadae anakiri kuwa hawakuisoma yote
Mwaka 2008 Dr Mwakyembe na Kamati yake ya Richmond wanasoma taarifa ya kamati juu ya kashfa ya Richmond na baadae anakiri kuwa hawakuisoma yote
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,948 SDG said: 2017 Gavana wa Jiji la DSM anakumbwa na kashfa ya kufoji elimu yake ya kidato cha nne kwa kutumia jina lingine ikiwa yeye anaitwa BARSHITEH Click to expand... Mkuu ahsante
SDG said: 2017 Gavana wa Jiji la DSM anakumbwa na kashfa ya kufoji elimu yake ya kidato cha nne kwa kutumia jina lingine ikiwa yeye anaitwa BARSHITEH Click to expand... Mkuu ahsante
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 7, 2017 #181,949 shululu said: Nayeye amelala sasa Click to expand... ila shemela ww ni mchochezi
SDG JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7,631 Reaction score 8,074 May 7, 2017 #181,950 2010 mgombea urais kwa tiket ya SISIEM anaanguka Jukwaani kwa uchovu, 2015 mgombea urais kwa yiket ya CCM anapiga Pushap za kutosha Jukwaani
2010 mgombea urais kwa tiket ya SISIEM anaanguka Jukwaani kwa uchovu, 2015 mgombea urais kwa yiket ya CCM anapiga Pushap za kutosha Jukwaani
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 May 7, 2017 #181,951 SDG said: Mwaka 2008 Edward Lowassa anaachia ngazi kwa kashfa ya kandaras ya Kufua umeme ya Richmond Click to expand... Unafikiri aluachia tu hivihivi? .......
SDG said: Mwaka 2008 Edward Lowassa anaachia ngazi kwa kashfa ya kandaras ya Kufua umeme ya Richmond Click to expand... Unafikiri aluachia tu hivihivi? .......
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,952 Shunie said: kilele kipi Click to expand... Cha mlima
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #181,953 Shunie said: Mmh Click to expand... Mbona unaguna dada
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 7, 2017 #181,954 SDG said: Nani anahitaji source?Juu ya nini? Click to expand... Si ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewa
SDG said: Nani anahitaji source?Juu ya nini? Click to expand... Si ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewa
SDG JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7,631 Reaction score 8,074 May 7, 2017 #181,955 Shunie said: Si ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewa Click to expand... Amenifafanulia nimemuelewa
Shunie said: Si ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewa Click to expand... Amenifafanulia nimemuelewa
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,394 Reaction score 10,836 May 7, 2017 #181,956 aganza said: Kweli kabisa . Click to expand... na itabidi ufunge na kuomba kwa hili, nitakusaidia kushusha upakoh
aganza said: Kweli kabisa . Click to expand... na itabidi ufunge na kuomba kwa hili, nitakusaidia kushusha upakoh
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,957 Shunie said: Shedede wa msukuma Click to expand... Sio wa mnyarukolo
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,958 SDG said: April 1,2016 BWANA MKUBWA anatoa ahadi ya kuonesha Salary Slip yake ili kudhihirisha kile anacholipwa akiwa mapumzikoni CHATTLE Click to expand... Alikionyesha
SDG said: April 1,2016 BWANA MKUBWA anatoa ahadi ya kuonesha Salary Slip yake ili kudhihirisha kile anacholipwa akiwa mapumzikoni CHATTLE Click to expand... Alikionyesha
SDG JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 7,631 Reaction score 8,074 May 7, 2017 #181,959 Bitoz said: Unafikiri aluachia tu hivihivi? ....... Click to expand... Alisema 'Tatizo ni huu uwaziri mkuu'
Bitoz said: Unafikiri aluachia tu hivihivi? ....... Click to expand... Alisema 'Tatizo ni huu uwaziri mkuu'
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 May 7, 2017 #181,960 SDG said: Mwaka 2015 Mbunge wa Ludewa bwana Deo Filikunjombe anapoteza maisha baada ya kupata ajali ya helcopter kwenye harakat za.kampeni kwenye chama chake PENDWA Click to expand... Mkuu unatuchanganya Sisi tulifikiri matukio ya siku km ya leo duh kumbe umeandika tu vyovyote ilimradi zamani ......
SDG said: Mwaka 2015 Mbunge wa Ludewa bwana Deo Filikunjombe anapoteza maisha baada ya kupata ajali ya helcopter kwenye harakat za.kampeni kwenye chama chake PENDWA Click to expand... Mkuu unatuchanganya Sisi tulifikiri matukio ya siku km ya leo duh kumbe umeandika tu vyovyote ilimradi zamani ......