BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Namba 3Kwa ambao mko mnakunywa bia ya serikali aka Safari lager na huku hupendi kucheza ili unapenda kuangalia wanaojimwayamwaya basi huyu hapa bibie Zuhura, maana sio kwa utamu wa kinanda huu
Hakika Obe umletee touch LeeKwa ambao mko mnakunywa bia ya serikali aka Safari lager na huku hupendi kucheza ili unapenda kuangalia wanaojimwayamwaya basi huyu hapa bibie Zuhura, maana sio kwa utamu wa kinanda huu
weeeeeeee, afanye arudi bhana maana akizidi kuchelewa itabidi maharage unayokula tutie vimafuta vya taa kidogo kama sekondari za bweni vile
Huo urojo huo wa ndimu,vidonda havitaponaBorn Town ni Talent Town Kigoma.. ila nimeishi kama mwaka na nusu Shinyanga+mwanza now sieleweki Mara bashite City (Dar) Mara kwenye urojo na ndimu Zenj..
ObeeShanga zina mlio fulani hivi utasema nyoka kifutu anatemmbea kwenye nyasi kavu, chain haina raha.
Shanga zikikatika kwa mfano mnaanza kuokota ule utunda pamoja, si raha hiyo, au?
AMINAAAAAAmen,tunakumis tunakuombea sana
Huyu bhinamu ata simueleweii
Angezeeka ungemwacha maana ulipenda lips na macho huwa vinabadilikaDemu wangu wa kwanzaaaa!
Alitoka muheza...! Aliitwa V..
Aisee...huyo mtoto alikuwa ni kisuu blaa..ila nilipendaga lips zake na macho tuu
huyu pasua kichwaa ...sikuwahii kusikiliza mziki huu na sikuujuaHakika Obe umletee touch Lee
Duuh sijajua ila nitakujahivi huku dar unakuja lini
Mkuu hata usiku mtu akilala huwa roho inasafiriiahaaaaaaah mkuuu humo japo sijakutajaa
lile kolonii hata kwa dawa ipii huwezi lipata .....
moyo wake huwa nasafiri nao anakuwepo kiwiliwiliii
Karibu kakqDuuh sijajua ila nitakuja
salama chief uhali gan?Habari ya kuamka wakuu
kwemaaa mkuuHabari ya kuamka wakuu
Hapana...!Angezeeka ungemwacha maana ulipenda lips na macho huwa vinabadilika
Wewe muache...afu vale yuko kaskazini , mondray anakula kachori ungujamsiuane jamani
ahaaaaah ushindweMkuu hata usiku mtu akilala huwa roho inasafirii
sasa kama umeacha mwili ntauamsha ili roho irudi ulipokwenda nayo