Makapuku Forum

Makapuku Forum

1 Nimechoka kabisa macho yangu mazito macho yako BABANGU,yanilinde usiku.

2 Niliyokukosea Mungu niondolee!Damu ya Yesu Kristo huning'aza kabisa.

3 Ndugu zangu ,ee Mungu;uwalinde usiku;wakubwa na wadogo,wote walale raha.

4 Wenye shida tuliza uwafute machozi,uwapokee wote wafao usiku huu

ZABURI 27

14 Umngoje BWANA,uwe hodari ,upige moyo konde ,naam umngoje BWANA

USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE
Amen
 
Kufikia hapa kwa Leo sina la ziada Nakutakieni usiku mwema Makapuku wote.
950c8587264e7c0a36d84dc4f816cca3.jpg
Nawe pia mkuu Nyagei ubarikiwe
 
1 Nimechoka kabisa macho yangu mazito macho yako BABANGU,yanilinde usiku.

2 Niliyokukosea Mungu niondolee!Damu ya Yesu Kristo huning'aza kabisa.

3 Ndugu zangu ,ee Mungu;uwalinde usiku;wakubwa na wadogo,wote walale raha.

4 Wenye shida tuliza uwafute machozi,uwapokee wote wafao usiku huu

ZABURI 27

14 Umngoje BWANA,uwe hodari ,upige moyo konde ,naam umngoje BWANA

USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE
Amen
 
Now we are talking. Angalau umegangamara kidogo hata mkwara kidogo unaeleweka. Ukiendelea hivi Lee akirudi nitamuomba akuongezee mshahara. Akigoma nitajitolea mwenyewe kwa sababu safari hii nyanya zangu zimekubali balaa hapa Koromije. Excellent job
hahaha...h call me jay boy we jitaid naww upate kazi ya ulinzi kilimo cha msimu kikiisha unapiga ulinzi
cc:nyagei muweke ata awe co-inspector
 
Wazazi wengine wamepinda duh! Katongole atakua ananuka balaa na mademu wakianza kumkimbia matatizo kibao ya kisaikolojia yanaanza - hasira, anti social tendencies, low esteem, loneliness, depression, inferiority complex na mengineyo kibao. Mzazi huyu huyu tena utamwona analalamika kuhusu matatizo ya mwanae. Kumbe angemsikiliza mwalimu wakasaidiana kuhakikisha kuwa Katongole anakuwa mtanashati yote haya yasingetokea.
dear shimba ya buyense katongole is not flower to smell plz teach him dont smell
 
Aaa wapi. Tunalima kitaalamu sana mkuu. Unaweza kuingiza pesa nzuri sana kwa mwaka kuzidi hata waziri (unless kama amefisadika). Njoo Koromije hapa nikuonyeshe how it is done. Uta-resign kazi ya ulinzi immediately!
hahah...h naona call me jay boy umegangamara kutetea kilimo (kiinua mgongo cha nchi)
sikatai kilimo ni kizur ila kwa mimi nilikikimbia huko kijijini mjini hakuna shamba utalima lami
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom