Makapuku Forum

Shida alilishwa sumu ya kuwa asiondoke Roma ili aje apewe ukepteni mara baada ya kustaafu kwa El Capitano de la Roma, Fransisco Totti. Sasa Totti anastaafu mwisho wa msimu huu lakini De Rossi umri ushaanza kumtupa mkono now ana miaka 33.
Kipindi man wanataka kumchukua alitakiwa kukubali kwa 100%,alipoanza kuifikiria Roma tu akachemsha
 
Aisee
 

Shukrani Mkuu, hakika Mungu ni Mkubwa.
 
Unaona ee namba zinaleta uhasama
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…