Makapuku Forum

Antoine Griezmann - Namba 7

Amekuwa akipenda kuvaa jezi namba 7 kwaheshima ya David Beckham ambaye anamtaja kama ndio " Role Model " wake wakati anakua. Pia anapenda kuvaa jezi za mikono mirefu kama ambavyo David Beckham alikuwa akifanya enzi zake akicheza mpira.

hapa akiwa Real Sociedad


Hapa akiwa Atletico Madrid


Timu ya taifa ya Ufaransa
 
Daniele De Rossi - Namba 16

Staa huyu wa As Roma na timu ya Taifa ya Italy hupenda kuvaa jezi namba 16 kwasababu kuu mbili.
Moja, ni kuwa Mtoto wake aitwae Gaia alizaliwa tarehe 16.
Mbili, Anapenda kuvaa namba 16 ikiwa ni heshima kwa Kepteni wa zamani wa Man Utd, Roy Keane aliyekuwa anavaa jezi namba 16 akiwa Man Utd.

Hapa akiwa na As Roma


Akiwa na timu ya taifa ya Italy
 
Nicolas Anelka - Namba 39
Straika wa zamani wa Chelsea, Man City, Fernabache, Bolton amekuwa akipenda kuvaa jezi namba 39 ikiwa ni namba yake ya bahati anayoipenda.

Chelsea


Man City


West Bromwich Albion



Ufaransa


Bolton Wonderers


Fenerbahce
 
Asamoah Gyan - Namba 3

Staa huyu wa Ghana amekuwa akivaa namba 3 akiamini kuwa ndio namba yake ya bahati.

Ghana


Al Ahli


Alipokuwa Sunderland alikuta Jezi namba 3 ina mtu, akaamua kui-double namba 3 na kuwa 33.
 
Luis Nani - Namba 17

Winga huyu wa Kireno amekuwa akitumia namba 17 katika jezi zake ikiwa ni tarehe yake ya kuzaliwa.
Alizaliwa tarehe 17 November 1986.

Ureno


Fenerbahce


Man Utd


Valencia
 
Duh
Kumbe ndo sababu nilifikiri anamuiga CR7
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…