shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #179,941 Mussolin5 said: 1980 - Yossi Benayoun anazaliwa. Kiungo wa zamani wa West Ham, Liverpool, Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Israel. Click to expand... HBD Benayoun
Mussolin5 said: 1980 - Yossi Benayoun anazaliwa. Kiungo wa zamani wa West Ham, Liverpool, Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Israel. Click to expand... HBD Benayoun
BATULUNGE JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 392 Reaction score 635 May 5, 2017 #179,942 Shunie said: sitakiii Click to expand... Ila unaikubali kiaina
BATULUNGE JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 392 Reaction score 635 May 5, 2017 #179,943 Shunie said: sio mlinzi wangu mm Click to expand... Basi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisa
Shunie said: sio mlinzi wangu mm Click to expand... Basi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 5, 2017 #179,944 BATULUNGE said: Ila unaikubali kiaina Click to expand... kiasi chake sbbu lee ni chelsea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 5, 2017 #179,945 torvic said: jamani hivi mnajua, kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati Click to expand... ni kweli mm mmojawapo
torvic said: jamani hivi mnajua, kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati Click to expand... ni kweli mm mmojawapo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 5, 2017 #179,946 BATULUNGE said: Basi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisa Click to expand... haujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile
BATULUNGE said: Basi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisa Click to expand... haujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 5, 2017 #179,947 Shunie said: Ameen mama mchuchu ubarikiwe sana Click to expand... Amen Shunie ubarikiwe siku njema
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 5, 2017 #179,948 torvic said: amen! Click to expand... Asante ubarikiwe Torvic
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 5, 2017 #179,949 torvic said: jamani hivi mnajua, kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati Click to expand... Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika
torvic said: jamani hivi mnajua, kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati Click to expand... Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,397 Reaction score 10,846 May 5, 2017 #179,950 Shunie said: ni kweli mm mmojawapo Click to expand... hahahah! kabaridi ka uchokozi haka!
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,397 Reaction score 10,846 May 5, 2017 #179,951 BlessedHope said: Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika Click to expand... mvua na jua bora mvua!!!
BlessedHope said: Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika Click to expand... mvua na jua bora mvua!!!
BATULUNGE JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 392 Reaction score 635 May 5, 2017 #179,952 Shunie said: haujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile Click to expand... Labda liwe robot kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Shunie said: haujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile Click to expand... Labda liwe robot kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 5, 2017 #179,953 BlessedHope said: Amen asante kwa historia mkuu Mussolin5 kazi yako ni njema ubarikiwe Click to expand... Aksante sana
BlessedHope said: Amen asante kwa historia mkuu Mussolin5 kazi yako ni njema ubarikiwe Click to expand... Aksante sana
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 5, 2017 #179,954 Bitoz said: Inatokea mara chache mchezaji kuchezea klabu zote hizo 3 ....... Click to expand... Ni kweli mkuu.
Bitoz said: Inatokea mara chache mchezaji kuchezea klabu zote hizo 3 ....... Click to expand... Ni kweli mkuu.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 5, 2017 #179,955 Bitoz said: Makaburu noma sana kila mwanaharakati walimuonjesha jela Kagame swahiba ake Sizonje nae ndo staili yake ikishindikana unauawa kimyakimya Shukrani mkuu Tukutane jioni ......... . Click to expand... Pamoja mkuu
Bitoz said: Makaburu noma sana kila mwanaharakati walimuonjesha jela Kagame swahiba ake Sizonje nae ndo staili yake ikishindikana unauawa kimyakimya Shukrani mkuu Tukutane jioni ......... . Click to expand... Pamoja mkuu
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 5, 2017 #179,956 Shunie said: Asante mussolin kwa historia mubashara Click to expand... Pamoja sana!
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 May 5, 2017 #179,957 Peoplez, habarini za mchana?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 May 5, 2017 #179,958 BlessedHope said: Ubarikiwe asante kwa magazeti Click to expand... How are you doing Madame?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 May 5, 2017 #179,959 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie siku njema. Click to expand... Merci Papaa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 May 5, 2017 #179,960 BATULUNGE said: Labda liwe robot kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chai Click to expand... sio kwa shedede analipwa hela nyingi
BATULUNGE said: Labda liwe robot kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chai Click to expand... sio kwa shedede analipwa hela nyingi