Makapuku Forum

2003 - Walter Sisulu anafariki Dunia.

Alikuwa ni mwanaharakati dhidinya Ubaguzi wa rangi, Katibu Mkuu wa chama cha ANC na mwanasiasa mashuhuri aliyekuwa na nguvu kubwa ya ushawishi huko Afrika Kusini.

Alifungwa jela miaka 25 katika gereza la visiwa vya Robben na utawala wa Makaburu.

Ni mmoja ya Viongozi na Watu wanaoheshimika nchini Afrika ya Kusini hata baada ya kifo chake kando ya Nelson Mandela, Oliver Tambo, Desmomd Tutu nk.
 
Pumzika kwa amani Walter Sisulu
 
Kaah! Hawa jamaa walikuwa washenzi watupu
 
Hata uvaaji wao ilikuwa ni wa kufanana
Wakiwa kwenye matukio mbalimbali walivaa nguo zilizofanana
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…